Wana Simba wenzangu zoezi la kuchangia uwanja Kama limekufa hivi

mbwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
1,174
Reaction score
2,912
Itifak imezingatiwa,

Hili Jambo mbona Kama limekufa kibudu ,mitandaoni sioni hamasa yenye makali kabisa , Simba ilivyo na nguvu mitandaoni inashindwa Nini kutumia nguvu ya ushawishi ili hili jambo uwe Kama wimbo Taifa.

Au ndio wanatusahaurisha pole pole na pesa imeenda kwenye usajiri.

Haki niongee hapa Waz Waz kama hili Jambo halitafanikiwa viongozi wajiandae kunirudishia 50k yangu maana huu utakua Ni uhuni wa kutukuka.

Uzuri sms sijawahi kifuta ,haiwezekan watu tumeamua kujitoa Ila viongozi wanapooza hili swala yaan wanaliongea kwa kudokoa dokoa tu alafu wanakaa Kimya.

Viongozi kuweni serious msije tukwaza mashabik kwa hili Jambo weken msisitizo Kama mnavyoweka msisitizo kwenye mambo ya usajir .
Leo naishia hapa Ila hili swala naliona Waz kuwa tumepigwa na kitu kizito kichwan kwa mwendo huu wa Kobe hakuna uwanja hapa.
 
Hili Jambo mbona Kama limekufa kibudu ,mitandaoni sioni hamasa yenye makali kabisa ... Au ndio wanatusahaurisha pole pole na pesa imeenda kwenye usajiri.
Halijafa, CEO aliiweka wazi juzi kati hapa kwamba walikuwa hawajaizindua rasmi, ila ilibidi waruhusu baada ya shinikizo la wapenzi wenyewe wa Simba kutaka kuchangia.

Amesema mwitikio ulikuwa mkubwa na kwamba wataliweka rasmi muda ukifika. Kuhusu hela kwnda kwenye usajili, yote ni matumizi tu, fungu moja linaweza kuhamishwa kwa muda kwenda kufanya kazi iliyojitokeza kwa wakati huo, hela ya eneo husika ikifika basi inarudishwa pnyewe.

That's managment, kwa hiyo yawezekana pia na hata ikiwa hivyo, hakuna ubaya!
 
Mbona linatangazwa kila wakati kwenye page za Simba!!! Au wewe unaiongelea Simba ipi!?
 
Tatizo zoezi haliendeshwi kwa uwazi, wangekua na account special wanatoa update kila wiki tumefikia makusanyo kiasi hiki, na kila mmoja anaona either statement au screenshot.
 
uto bna fuatilia official pages za simba ig, Twitter na facebook utajua mambo yanaendaje
 
Itifak imezingatiwa,

Hili Jambo mbona Kama limekufa kibudu ,mitandaoni sioni hamasa yenye makali kabisa , Simba ilivyo na nguvu mitandaoni inashindwa Nini kutumia nguvu ya ushawishi ili hili jambo uwe Kama wimbo Taifa.

Au ndio wanatusahaurisha pole pole na pesa imeenda kwenye usajiri.

Haki niongee hapa Waz Waz kama hili Jambo halitafanikiwa viongozi wajiandae kunirudishia 50k yangu maana huu utakua Ni uhuni wa kutukuka.

Uzuri sms sijawahi kifuta ,haiwezekan watu tumeamua kujitoa Ila viongozi wanapooza hili swala yaan wanaliongea kwa kudokoa dokoa tu alafu wanakaa Kimya.

Viongozi kuweni serious msije tukwaza mashabik kwa hili Jambo weken msisitizo Kama mnavyoweka msisitizo kwenye mambo ya usajir .
Leo naishia hapa Ila hili swala naliona Waz kuwa tumepigwa na kitu kizito kichwan kwa mwendo huu wa Kobe hakuna uwanja hapa.
Wejamaa page za mnyama zinatangaza kila siku..... aaah utakuwa unapitia page za Zakazakazi
 
Mbona linatangazwa kila wakati kwenye page za Simba!!! Au wewe unaiongelea Simba ipi!?
Kuna kutangaza na kuweka msisitizo ,hivyo Ni vitu viwili tofauti.
Msisitizo umekuwa wa kiwango Cha chini tofauti na zoez lilipoanza Hadi wahamasishaji walikua wanaweka screenshot kuleta mzuka wa kuendelea kutoa pesa .
Saiz hakuna hicho kitu .
 
uto bna fuatilia official pages za simba ig, Twitter na facebook utajua mambo yanaendaje
Ndio tatizo la sisi Watanzania mtu akihoji kitu Basi anaonekana Ni wa upande wa pili .
Onyesha screenshot yako inayoonyesha umechangia mchango wa uwanja na Mimi nionyeshe screenshot yangu ndipo tutajua mm na wewe nan Ni uto.

Tatizo mmejaa vilaza kila Kona ya nchi , kuweka account kwa page na kuhamasisha na kutilia mkazo Ni Mambo tofaut .
Mwanzon Hadi wahamasishaji walikuwa wanatoa updates kwa kuweka screenshots na zilisaidia kuleta hamasa ya kuchangia kwa Kasi ,vipi saiz hayo mambo yanafanyika?
 
Halijafa, CEO aliiweka wazi juzi kati hapa kwamba walikuwa hawajaizindua rasmi, ila ilibidi waruhusu baada ya shinikizo la wapenzi wenyewe wa Simba kutaka kuchangia.

Amesema mwitikio ulikuwa mkubwa na kwamba wataliweka rasmi muda ukifika. Kuhusu hela kwnda kwenye usajili, yote ni matumizi tu, fungu moja linaweza kuhamishwa kwa muda kwenda kufanya kazi iliyojitokeza kwa wakati huo, hela ya eneo husika ikifika basi inarudishwa pnyewe.

That's managment, kwa hiyo yawezekana pia na hata ikiwa hivyo, hakuna ubaya!
Je lisingekwepo hili zoez wangechukua wapi hizo pesa za usajir?
Ukiona club imeanza hizo tabia jua hiyo Ni ishara ya uhuni uhuni na ukanjanja .

Michango ya watu huwez tumia et uwe na mawazo kuwa ntarudishia pale pale ,hapo mwanya wa upigaji na ufisadi uko wazwaz.

Try again si alisema pesa ya usajir ipo?
Narudia Tena kama kweli Simba imefikia huko Basi naanza kuamin maneno kuwa tumeyumba kiuchumi na hii trick ililetwa kwa lengo la kupata pesa ya usajir na si vinginevyo.
 
Kuna kutangaza na kuweka msisitizo ,hivyo Ni vitu viwili tofauti.
Msisitizo umekuwa wa kiwango Cha chini tofauti na zoez lilipoanza Hadi wahamasishaji walikua wanaweka screenshot kuleta mzuka wa kuendelea kutoa pesa .
Saiz hakuna hicho kitu .
Msisitizo upi unataka waufanye Mzee. Watembee barabarani wakitangaza!? Upo na Simba App kweli!?
 
Wejamaa page za mnyama zinatangaza kila siku..... aaah utakuwa unapitia page za Zakazakazi
Rudi kasome upya Uzi wangu alafu urudi utoe ushuz wako upya hapa.

Kuweka account kwa page na kuhamasisha Ni vitu viwili tofaut ,je mwanzon Hali ilikua km ya Sasa ?
Hadi nimekuja na hili bandiko jua Kuna kitu hakiko sawa na kinaleta mashaka ,amsha amsha km ya mwanzo haipo kwasasa ,lakin Niseme tu hii issue wamejikoroga na lazima itakuja leta kelele huko mbelen .
 
Ukiona club imeanza hizo tabia jua hiyo Ni ishara ya uhuni uhuni na ukanjanja .
Michango ya watu huwez tumia et uwe na mawazo kuwa ntarudishia pale pale ,hapo mwanya wa upigaji na ufisadi uko wazwaz.
Unaumia wakati haujachanga na wala hauhitajiki kuchanga. Tuliochanga tunataka tuchange na nyingine ili tupigwe vizuri
 
Watu Kama nyie naishia kuwapiga madole ya Kati tu [emoji867]
 
Back
Top Bottom