Mkuu, naona unazidi kufukuza watu kwenye huu uzi wako. Sasa Mkurya aliyezaliwa na kukulia Okinawa Japan. ataweza kufahamu Kikurya kweli kama waliopo Dar es Salaam tu tena Msongola ni shida.Utakuwa mpuuzi ukiwa mkurya then huwez kuongea kikurya! Limbukeni wa hivyo simhitaji kwenye uzi
Huyo Jamaa kaanzisha uzi ili agombane na watu, kajifanya anaielewa Tarime lakini hakuna kitu, watu wengine tumezalizawa na kukulia mpaka umri wa kwenda jando baada ya hapo tukazamia nchi za watu kutafuta maisha, lakini jiografia ya eneo iko kichwani labda kwa vijiji na kata zilianzishwa kuanzia miaka ya 90. Nilitarajia kutumia uzi huu kuikumbuka Tarime yetu bila ubaguzi na matusi. Hata siku moja sijawahi kujutia kuzaliwa Mkurya, ila ninachofanya ni kuhakikisha kuwa watoto wangu hawatakuwa na tabia kama ya mgombea uvccm2017. Tabia kama hii ni chukizo kwa Mungu, Wakurya wenzangu tubadilike, dunia ya sasa inahitaji umoja, maguvu hayana nafasi tena, kizazi cha Zinjanthropus ndo kilihitaji maguvu ili kufanya maisha yaende, sasa hivi uko Nyakunguru, unaagiza gari japan linafika hapo hapo Nyakunguru au ukpenda unaenda kulipokea Komaswa. Kufanya biashara sio lazima uifate Dar es Salaam, unaagiza na kuipokelea Tarime. Tumieni fursa, acheni ubabe hauna nafasi tena. Nilipokuja likizo nilinunua mkusanyiko wa nyimbo za asili (Ritungu na ekegogo) ......Fidi fosi fidi fosi...nerababune amagoro.Mzee umeeleweka sana bahati mbaya wakurya hatujui kuomba msamaha, na wewe kama mkurya utakuwa unajua wazi kuwa sisi wakurya UGONVI UKO KWENYE DAMU, hayo tuyasahau yameisha tuendelee kushirikiana tena,
na kama utazira hauta kuwa mkurya, Mula tughendeeri,
Hahahaaa mkuu nimecheka, yaani wakurya elfu moja sawa sawa na tundu lissu mmoja, Wewe lazima utakua muhaya tuToeni ukurya wenu hapa. Wakrya elfu moja sawasawa naTundu Lisu mmoja sawa mamuraa. Mkale vimolo. Kamakawa mtani wenu
Hawa ndo wakurya. Wamekaa kishali shali tu muda wote.Mkuu, naona unazidi kufukuza watu kwenye huu uzi wako. Sasa Mkurya aliyezaliwa na kukulia Okinawa Japan. ataweza kufahamu Kikurya kweli kama waliopo Dar es Salaam tu tena Msongola ni shida.
Ahsante murah weito. Thakaribia NyakunguruNaomba uzi huu uwe special kwa wakurya wa Tarime pekee
Gamasara,Kemange,Buhemba,Tagota,Magen,Kibumaye,Sirari,Bwirege,Nyamongo,Nyamwaga,Kiribo,Mgoto,Nkongore,Nyamwigura,Kebweye,Kubhitocho na sehemu nyinginezo
Mura,mwiseke,mukungu na moghaka tusikane hano tuhite weito na amang'an ghaito
Nimepamis sana home!
Kemakore sehemu khe murahKemakorere moja hiyo
Ukabila ni nini aiseehAcheni ukabila bana
Mbuya mura aghaho?Abanto mbuya more
Chacha waikwabe ohe Onyakehanere ghose ohe okoghambaKemakore sehemu khe murah
Ekerya Chacha Waikwabe, Mong'anye, Mokami Onyahucho, Marwa Oghati, Kebhoga na Mwita Omogesi
Sawa hujakatazwa jichanganye tu we ndo uache ukabilaAcheni ukabila bana
Endelea hivyo hivyo kutokujua na itajulikana kati ya wewe na sisi nani mpuuzi na wakupuuzwa, kama umekalili kabila ya mamaako na unashindwa kuongea ya babako bas we ni wakupuuzwa mchabhani[emoji41] [emoji53]Huu sasa ndo upuuz,mnadhan kma wakurya wote wanajua kikurya??? Mm siwaelewi hta kdgo but ni mkaz wa hko