The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Hii ni yanga au UTOPOLO?
Yaani sasa hivi wana strugle kutafuta nafasi ya piriiiiiiii( in mr Utopolo's voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.View attachment 1486642
Hii ni yanga au UTOPOLO?
Yaani sasa hivi wana strugle kutafuta nafasi ya piriiiiiiii( in mr Utopolo's voice)
Wahi kikao cha wake wa Mo Dewji. Vaa dela kabisa.View attachment 1486642
Hii ni yanga au UTOPOLO?
Yaani sasa hivi wana strugle kutafuta nafasi ya piriiiiiiii( in mr Utopolo's voice)
Mwaka huu hata nafasi ya piriiii hamuipati nyie utopoloTako1 mshukuru serikali ya washamba ya awamu ya tano kwa kumpa Manji kesi za uwongo 33 na akazipangua zote mahakamani....alishawaambia Yanga itachukua ubingwa miaka yote labda yeye akiwa amekufa...hamna lolote GSM na Taifa gas itatubeba tena
Utopolo, Utopolo , Utopolo kwa nini mnabebwa na marefa?? Molinga makilomingi na Yikpe hao nchi zao ni mabaunsa wa night club, mkawaleta huku kucheza mpiraWahi kikao cha wake wa Mo Dewji. Vaa dela kabisa.
Hata ya tatu hawapati. Kesho Namungo anakamata nafasi ya tatuNi haramu msimu huu Yanga kushika nafasi ya pili
masikini gsm wafadhili timu ambayo ainaga weredi wala juhudi.Hata ya tatu hawapati. Kesho Namungo anakamata nafasi ya tatu