Wana utopolo kutaneni hapa mjadili maendeleo ya timu yenu

Wana utopolo kutaneni hapa mjadili maendeleo ya timu yenu

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
1592898194504.png

Hii ni yanga au UTOPOLO?
Yaani sasa hivi wana strugle kutafuta nafasi ya piriiiiiiii( in mr Utopolo's voice)
 
Tako1 mshukuru serikali ya washamba ya awamu ya tano kwa kumpa Manji kesi za uwongo 33 na akazipangua zote mahakamani....alishawaambia Yanga itachukua ubingwa miaka yote labda yeye akiwa amekufa...hamna lolote GSM na Taifa gas itatubeba tena
 
Mwaka huu hata nafasi ya piriiii hamuipati nyie utopolo
 
Hawa jamaa hata Shirikisho watakosa, hata zikitolewa nafasi nne (kama Libya watasimamisha ligi)
 
Back
Top Bottom