Wana yanga hawajamwelewa JK?

Wana yanga hawajamwelewa JK?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Kikwete leo katema madini mazuri ila hawa bakuli FC wamefurahi bila kujua msg ilikua inahusu nini?

Kasema utakuwa kiongozi mbumbavu kama unatumia madaraka yako kuwakandamiza timu pinzani wakati unajua kabisa hata hao wa timu pinzani wewe ni kiongozi wao.

Wengi walio kuwepo ukumbini ni wana ccm ambao wanajua wanacho kifanya kwa vyama pinzani .

Mwigulu alikuwepo pia , hawa ni moja ni mifano viongozi ambao wametumia madaraka yao kuwakandamiza vyama pinzani wakati hata hao wa vyama pinzani ni kiongizi wao.

JK baada ya kuongea akatulia kusikilizia , lakini nabisi alielewa hawaja mwelewa.

Nchi hii ni ya wote, utofauti wa itikadi ni kwa mujibu wa katiba.

Huu ujumbe uwafikie viongozi wote wanatembelea magari yalinunuliwa kqa pesa za kodi huku wanawakandamiza wananchi wao.
 
JK ndo keshasema hivo! Akili za kuambiwa changanya na zako!
Jiwe lishatupwa gizani na kumgonga mtu utosini!
Mzee JK kapiga vizuri
FB_IMG_1560615199980.jpeg
 
Kikwete leo katema madini mazuri ila hawa bakuli FC wamefurahi bila kujua msg ilikua inahusu nini?

Kasema utakuwa kiongozi mbumbavu kama unatumia madaraka yako kuwakandamiza timu pinzani wakati unajua kabisa hata hao wa timu pinzani wewe ni kiongozi wao.

Wengi walio kuwepo ukumbini ni wana ccm ambao wanajua wanacho kifanya kwa vyama pinzani .

Mwigulu alikuwepo pia , hawa ni moja ni mifano viongozi ambao wametumia madaraka yao kuwakandamiza vyama pinzani wakati hata hao wa vyama pinzani ni kiongizi wao.

JK baada ya kuongea akatulia kusikilizia , lakini nabisi alielewa hawaja mwelewa.

Nchi hii ni ya wote, utofauti wa itikadi ni kwa mujibu wa katiba.

Huu ujumbe uwafikie viongozi wote wanatembelea magari yalinunuliwa kqa pesa za kodi huku wanawakandamiza wananchi wao.
Jamaa leo katema vitu sana aisee, na akasema hakuomba yeye kualikwa bali wamemuita wenyewe (so wavumilie tu vidonge vyake)
 
Nimegundua kikwete analitakia mema taifa hili pamoja na makandokando yake
 
Alikuwa anawapiga madongo tifua tifua,wale wote kuanzia Rais hadi mfagizi wa ofisi ni Simba, na kuna maamuzi mengi hasa last season walikuwa wanafanya kuinufaisha simba,ni dongo kwa Msomali
 
Kama aliwasema tff je tff imewakandamiza vip yanga msimu uloisha??
 
JK aliwalenga Tifua Tifua ya Msomali. The Football Federation has gone to the street dogs.
 
Wakuelewa walimuelewa...

Wapumbavu wachache ndiyo hawatamuelewa, sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom