Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kikwete leo katema madini mazuri ila hawa bakuli FC wamefurahi bila kujua msg ilikua inahusu nini?
Kasema utakuwa kiongozi mbumbavu kama unatumia madaraka yako kuwakandamiza timu pinzani wakati unajua kabisa hata hao wa timu pinzani wewe ni kiongozi wao.
Wengi walio kuwepo ukumbini ni wana ccm ambao wanajua wanacho kifanya kwa vyama pinzani .
Mwigulu alikuwepo pia , hawa ni moja ni mifano viongozi ambao wametumia madaraka yao kuwakandamiza vyama pinzani wakati hata hao wa vyama pinzani ni kiongizi wao.
JK baada ya kuongea akatulia kusikilizia , lakini nabisi alielewa hawaja mwelewa.
Nchi hii ni ya wote, utofauti wa itikadi ni kwa mujibu wa katiba.
Huu ujumbe uwafikie viongozi wote wanatembelea magari yalinunuliwa kqa pesa za kodi huku wanawakandamiza wananchi wao.