Wana Yanga lawama ya mechi ya jana mpeni mayele

Wana Yanga lawama ya mechi ya jana mpeni mayele

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mimi ni shabiki wa Mayele sana na kuna nyuzi zangu nyingi namsifu na kumtetea sana, lakini ukweli ni kwamba mechi ya jana Mayele ndiyo alikosesha wenzake magoli mengi ya wazi.

Anapenda sifa sana, yaani alitaka afunge peke yake.
Kuna nafasi mbili ambazo walipata Yanga alikuwa yeye, Aziz Ki, Morrison na Fei dhidi ya beki mmoja, alishindwa kutoa pasi kwa wenzake ili wafunge. Yeye alitaka afunge peke yake.

Pia kuna nafasi zingine alikosa za wazi, ifike hatua sasa Mayele tuache kumshobokea licha ya kufunga sana lakini anashindwa sana. Mimi naamini angelikuwa Makambo kwa nafasi zile angeliweza kufunga sema tu kwasababu hajapata nafasi. Ila makambo ni atari zaidi ya Mayele, kwa wale wanaojua mpira watakubaliana na mimi.
FB_IMG_1665325724518.jpg
 
Hadi wachezaji wenzake wanamshabikia mayele
 
Ahahahaaaaa yaani Mayele amewateka mpaka akajiteka na yeye
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Back
Top Bottom