OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nimesoma taarifa ya Kamati ya Masaa 72 kwa masikitiko sana,nimewasikia watani zangu Yanga.
Wamepigwa faini ya milioni sita kwa makosa mawili kuhusu mechi ya KMC. Makosa haya ni kutumia mlango ulisio rasmi kuingia uwanjani na kukataa kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia sare na kupumzikia. Hii ni ile mechi ya KMC
Ikumbukwe pia Yanga ilichapwa faini kama hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Mnyama Simba kwa makosa yaleyale.
Hii ni nini kama sio matumizi mabaya ya bakuli?Milioni 12 ndani ya mwezi mkoja kwa timu inayoendeshwa kwa bakuli,si matumizi mabaya ya maduhuli?
Ukiuliza sababu za kutenda haya huwezi kupata sababu za kisomi,viongozi hawawezi kukuambia on records,zaidi tu watakunong'oneza sababu za kwenye vijiwe vya kahawa. Eti wanarogwa nk.
Wana Yanga wanamuonea noma Zahera,ndio chanzo cha yote haya. Akafanya hivyo mpaka kwa AS Vita kiwango cha kuvuruga saikolojia ya wachezaji wa AS Vita.
Mimi sio msemaji wa Wana Yanga,ila kama wanamichezo tena nikiwa katika ngazi za kimataifa napaswa kulikemea hili.