Wana Yanga michango yenu inatumika kulipa faini za kijinga!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Nimesoma taarifa ya Kamati ya Masaa 72 kwa masikitiko sana,nimewasikia watani zangu Yanga.

Wamepigwa faini ya milioni sita kwa makosa mawili kuhusu mechi ya KMC. Makosa haya ni kutumia mlango ulisio rasmi kuingia uwanjani na kukataa kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia sare na kupumzikia. Hii ni ile mechi ya KMC

Ikumbukwe pia Yanga ilichapwa faini kama hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Mnyama Simba kwa makosa yaleyale.

Hii ni nini kama sio matumizi mabaya ya bakuli?Milioni 12 ndani ya mwezi mkoja kwa timu inayoendeshwa kwa bakuli,si matumizi mabaya ya maduhuli?

Ukiuliza sababu za kutenda haya huwezi kupata sababu za kisomi,viongozi hawawezi kukuambia on records,zaidi tu watakunong'oneza sababu za kwenye vijiwe vya kahawa. Eti wanarogwa nk.

Wana Yanga wanamuonea noma Zahera,ndio chanzo cha yote haya. Akafanya hivyo mpaka kwa AS Vita kiwango cha kuvuruga saikolojia ya wachezaji wa AS Vita.

Mimi sio msemaji wa Wana Yanga,ila kama wanamichezo tena nikiwa katika ngazi za kimataifa napaswa kulikemea hili.
 
Hakika ni aibu kubwa Sana na hata wanavyotenda Hayo makosa hawapati matokeo positive lakini wakitoka hapo bakuli Oooh timu ya wananchi changia baba changia yanga ndani ya mwezi mmoja zaidi ya 12M ,jumla ya michango 60M ukitoa faini wanabakiwa na 48M halafu hapo wanataka wakusanye 5bn kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawakatisha tamaa hata wachangiaji.
 
Nimesoma taarifa ya Kamati ya Masaa 72 kwa masikitiko sana,nimewasikia watani zangu Yanga.

Wamepigwa faini ya milioni sita kwa makosa mawili kuhusu mechi ya KMC. Makosa haya ni kutumia mlango ulisio rasmi kuingia uwanjani na kukataa kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia sare na kupumzikia. Hii ni ile mechi ya KMC

Ikumbukwe pia Yanga ilichapwa faini kama hiyo kwenye mechi yao dhidi ya Mnyama Simba kwa makosa yaleyale.

Hii ni nini kama sio matumizi mabaya ya bakuli?Milioni 12 ndani ya mwezi mkoja kwa timu inayoendeshwa kwa bakuli,si matumizi mabaya ya maduhuli?

Ukiuliza sababu za kutenda haya huwezi kupata sababu za kisomi,viongozi hawawezi kukuambia on records,zaidi tu watakunong'oneza sababu za kwenye vijiwe vya kahawa. Eti wanarogwa nk.

Wana Yanga wanamuonea noma Zahera,ndio chanzo cha yote haya. Akafanya hivyo mpaka kwa AS Vita kiwango cha kuvuruga saikolojia ya wachezaji wa AS Vita.

Mimi sio msemaji wa Wana Yanga,ila kama wanamichezo tena nikiwa katika ngazi za kimataifa napaswa kulikemea hili.
Hivi kweli yanga imefikia hatua inaiogopa kmc mpaka kuingilia mlango ambao sio? Dah. Maisha yanasonga kwa kasi sana.
 
Mikia wanajitekenya na kucheka wenyewe.

Yanga wenyewe wametulia, nyie mnateseka.
 
wana yanga wenzangu, mchawi wetu ni sisi wenyewe, tunaloga sanakwa mzee Nwalikunyikula kule bagamoyo, mahsarti anayotupa ya kuruka ukuta hayafanyi kazi alafu tunalipa faini kubwa, bora tuwaige simba kumtegemea Mungu na mazoezi
Simba wameanza lini kumtegemea Mungu?
Wazee wa makafara hao. Kila mechi lazima damu ya watu iende.
 
jiangali mjomba.
Simba wtunapiga ddua mwanzo wa mechi na mwisho wa mechi, hata taifa stars alipokuja EMMA Amunike kaondosha ulozi ndio tukashinda na si vinginevyo.
waganga/waachawi maan ni kampuni moja kama Noah na Hiace zote toyota, wamewadumaza sana, YANGA badilikeni muache ushirikina.

katika programu za kocha wa taifa, kama kuna mchezaji mlozi pale ataondoka maana yule kocha ni mlokole, anasali kweli, wataondoka tu, alafu amunike anajua afrika nziam ukiacha TANZANIA wanao ongoza kwa uchawi ni misri, kwahiyo mkiwaloga mnajiloga wenyewe.
 
Kiongozi, acha hizi stori rudi kwenye uhalisia. Simba iache ulozi?
 
Mikia kasomeni historia yenu..mfadhili bibi mganga wa kiarabu ..achaneni Na Yanga lidude likubwa sio maneno yangu Waziri Mwakyembe
 
yanga akili zao wanazijua wenyewe mechi za simba wanajaa wako tayari walipe hata kiingilio elfu kumi ili mradi washangilie timu pinzani lakini bakuli lao wanachangia 1000 tena hiyi ni baada ya kampuni za simu kuruhusu kima cha chini kiwe 1000 vinginevyi wangekuwa wanachangia hata shilingi 50 kwa siku
 
Nafikir iyo billion wataiskia kwa majirani zao tuu wao wagange izo million
 
yanga akili zao wanazijua wenyewe mechi za simba wanajaa wako tayari walipe hata kiingilio elfu kumi ili mradi washangilie timu pinzani lakini bakuli lao wanachangia 1000 tena hiyi ni baada ya kampuni za simu kuruhusu kima cha chini kiwe 1000 vinginevyi wangekuwa wanachangia hata shilingi 50 kwa siku
Wewe unaichangia simba sh ngap? Bora mwanayanga anaichangia timu yake 1000 kuliko wewe huchangii chchte kazi yako kusifia hela za mwanaume mwenzio! Siku Mo akisema muiname mtapinga?

-
 
Back
Top Bottom