Wana Yanga michango yenu inatumika kulipa faini za kijinga!

Wana Yanga michango yenu inatumika kulipa faini za kijinga!

Si bora mwana yanga anachangia ata hiyo buku na halalamiki kuliko wana simba wengi walalamishi hata hawajawahi kuchangia ata tshs mia kwenye timu lakini ndio wanajifanya wanamiliki timu kuliko ata bro MO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaichangia simba sh ngap? Bora mwanayanga anaichangia timu yake 1000 kuliko wewe huchangii chchte kazi yako kusifia hela za mwanaume mwenzio! Siku Mo akisema muiname mtapinga?

-
Mbona unateseka
 
Wewe unaichangia simba sh ngap? Bora mwanayanga anaichangia timu yake 1000 kuliko wewe huchangii chchte kazi yako kusifia hela za mwanaume mwenzio! Siku Mo akisema muiname mtapinga?

-
Inaelekea manji alikuinamisha Sana kipindi kile anawalipia kadi na kuwaingiza mpirani bure
 
Kweli hata mimi huu usenge nimeshindwa kuuvumilia..timu za ajabu sana hapa bongo, bora wakwepe vyumban tunajua kunauwezekano wakupulizwa dawa,kisayansi inaelezeka ila mambo ya ndumba ni upuuzi wa kiwango cha sgr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno ya mkosaji...ndo alivyokuwa anawafanya manji? Aliyetaka kuikodi team?waliokuwa wanamlilia manji na kumpigia magoti ni simba?

Wewe unaichangia simba sh ngap? Bora mwanayanga anaichangia timu yake 1000 kuliko wewe huchangii chchte kazi yako kusifia hela za mwanaume mwenzio! Siku Mo akisema muiname mtapinga?

-
 
Hizo faini ni mipango ya TFF na vikaragosi vya Bodi ambao wengi ni mikia. Nia ni kuikomoa Yanga.
Wastage of time.
Team haikupitia kwenye mlango usio rasmi?timu haikukataa kutumia vyumba rasmi?mchezo bila sheria na kanuni?!!!hata rede inazo unwritten rules sembuse soka?
 
Team haikupitia kwenye mlango usio rasmi?timu haikukataa kutumia vyumba rasmi?mchezo bila sheria na kanuni?!!!hata rede inazo unwritten rules sembuse soka?
Kiongozi hayo ni mapya? Simba haijawahi kufanya hayo?
 
IMG-20190330-WA0003.jpg
 
Hivi hakiwezekani wakaroga huo uchawi usiwaathiri wakawa wanaingia tu vyumbani?
 
Back
Top Bottom