Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,312
Si bora mwana yanga anachangia ata hiyo buku na halalamiki kuliko wana simba wengi walalamishi hata hawajawahi kuchangia ata tshs mia kwenye timu lakini ndio wanajifanya wanamiliki timu kuliko ata bro MO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app