Wana Yanga SC mlioko hapa JamiiForums ili niamini kuwa mna Akili na kweli mnazitaka alama 3 za mezani nijibuni haya maswali yangu

Soma swali namba 2 halafu kasome swali namba 5 mstari wa kwanza πŸ˜€πŸ˜€, ndo maana tunasema mzee rage hakukosea kuwaita ...
 
Nuts wa Yanga SC wakikujibu hili Swali nakuomba Unitagi tafadhali.
Nilidhani uko serious. Umeuluza maswali ya kawaida sana chakushangaza wewe unaona ni maswali yenye kichwa. Ningekujibu ila hii comment ya kututusi kaa na ujinga wako
 
1.Tukio la simba kukimbia mechi
2.Simba kwa kugomea mechi na kutofika uwanjani
3.Nyingi tu hata za kubatilishwa kwa adhabu mchongo hata zile za kadi
4.Kutegemea na ukubwa wa makosa waliyotenda
6.Hatuta cheza na iwapo itaonekana haki kutotendeka zipo ngazi zingine za maamuzi zinazoweza kutenda haki.
5.Baada ya mechi kuahirishwa kiholela tulihitaji kuwazomea tu hasira itulie.
7.Wananchi wameshindikana kufungwa na simba,hivyo simba ameona dawa ni kukimbia pale anapotakiwa kukutana na mwananchi,Yanga haiku mlaumu mtu wetu yeyote kwani kila mmoja wetu alitimiza wajibu wake kuhisiana na Derby.
 
Kwani wewe mgeni hapa Tanzania? Manara alisema wenye akili utopoloni ni wawili tuu, kwanini unauliza wΓ na Yanga wote wakati unajua hawana akiki?
we jamaa ni maimuna kichwa wazi, huna lolote unalolijua. Kama hata kuandika hujui, hawana 'akiki' ndo nini? Kwa hiyo unataka kuniambia unamuamini manara kuliko chochote sio, akikunyea au kukukojolea unakubali kisa manara ailisema? Ujinga ni mtaji katika nchi hii.
 
tunataka point hizo pumba 1-7 kamuulize muddi
 
Mimi bado nakumbuka lile suala la Kagoma. Utopolo Wa humu JF waliikazania kwa kusherehekea. Niliwaambia Kagoma atacheza tu lkn viongozi wao wasio na akili km alivyosema Manara wakaita Wana habari na kuwahakikishia wajinga wenzao kuwa Kagoma atafungiwa, wakatoa mkataba Wa hovyo km ushahidi. Kagoma huyo anacheza Hadi leo. Na hili waacheni tu wajifurahishe kwa muda. Matokeo yatakuja tofauti na hakuna atakayewahoji hao viongozi juu ya Ahadi yao ya kupata point za bure...
 
Alisikika utopwinyo mmoja hv
 
Kwahiyo mechi mnacheza hamtaki tena ushindi wa mezani?
 
Kuongezea kwanini walipeleka timu uwanjani ilihali viongozi wao walikuwa na taarifa toka bodi ya ligi mechi imeahirishwa!
Maswali mengine kujitia aibu tu.
Wewe uliona barua rasmi iliyo wasilishwa Yanga ya kuhairisha mechi kabla hawajaenda uwanjani?
 
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?
2021 Yanga walipo kataa kucheza sababu bodi ya ligi ilibadili muda wa mchezo kinyume na kanuni.
 
Wanayanga hatudai pointi hapa jf,hoja ya kujieleza pale muda utakapofika,majibu yatawasilishwa bodi ya ligi na viongozi wetu.Sisi wanachama hatutoi majibu,wajibu wetu sisi ni kulipa ada,kutoa michango na kwenda uwanjani kuishangilia timu yetu ya yanga
 
Viongozi wa Yanga na Mashabiki wao ni burudani tosha hata ukikutana nao kitaa utawajua tu kuwa hamnazo na vijezi fake vimeandilkwa Sport pesa Pia vinywqji vyoo vikubwa ni Double kick,faru,Ulanzi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…