Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Soma swali namba 2 halafu kasome swali namba 5 mstari wa kwanza 😀😀, ndo maana tunasema mzee rage hakukosea kuwaita ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani uko serious. Umeuluza maswali ya kawaida sana chakushangaza wewe unaona ni maswali yenye kichwa. Ningekujibu ila hii comment ya kututusi kaa na ujinga wakoNuts wa Yanga SC wakikujibu hili Swali nakuomba Unitagi tafadhali.
1.Tukio la simba kukimbia mechi1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?
4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?
5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?
6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?
7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?
Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
we jamaa ni maimuna kichwa wazi, huna lolote unalolijua. Kama hata kuandika hujui, hawana 'akiki' ndo nini? Kwa hiyo unataka kuniambia unamuamini manara kuliko chochote sio, akikunyea au kukukojolea unakubali kisa manara ailisema? Ujinga ni mtaji katika nchi hii.Kwani wewe mgeni hapa Tanzania? Manara alisema wenye akili utopoloni ni wawili tuu, kwanini unauliza wà na Yanga wote wakati unajua hawana akiki?
Your Stupid Mum.Who do you think has time to answer stupid questions
Katika Kupanuliwa na kuwekwa nao wote au?Am with you.
tunataka point hizo pumba 1-7 kamuulize muddi1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?
4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?
5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?
6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?
7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?
Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
Basha wako ndiyo Muddi?tunataka point hizo pumba 1-7 kamuulize muddi
Alisikika utopwinyo mmoja hvMliambiwa mfanye usajili mka puuzia, ona sasa mnavyo dhalilika na kukimbia mechi.
Bodi ya ligi imewabeba Karibu mechi kumi lakini bado imeshindikana.
Bodi ya ligi imekubali kuingia aibu ya Mwaka kwaajili yenu na bado mkicheza na Yanga mtafungwa hakika.
Kitu ambacho wengi hamfahamu, Goli mlizotakiwa kufungwa tarehe 8 zipo tu kwakua zilisha thibitishwa.
Siku yoyote mtayo ingia uwanjani zinakuja ku dhihirika tu hakuna atakaye zipondua labda mkeshe mkiomba Mungu.
Mtahangaika na vibabu vifupi ila mmesha nnasa.
Kwahiyo mechi mnacheza hamtaki tena ushindi wa mezani?Mliambiwa mfanye usajili mka puuzia, ona sasa mnavyo dhalilika na kukimbia mechi.
Bodi ya ligi imewabeba Karibu mechi kumi lakini bado imeshindikana.
Bodi ya ligi imekubali kuingia aibu ya Mwaka kwaajili yenu na bado mkicheza na Yanga mtafungwa hakika.
Kitu ambacho wengi hamfahamu, Goli mlizotakiwa kufungwa tarehe 8 zipo tu kwakua zilisha thibitishwa.
Siku yoyote mtayo ingia uwanjani zinakuja ku dhihirika tu hakuna atakaye zipondua labda mkeshe mkiomba Mungu.
Mtahangaika na vibabu vifupi ila mmesha nnasa.
Maswali mengine kujitia aibu tu.Kuongezea kwanini walipeleka timu uwanjani ilihali viongozi wao walikuwa na taarifa toka bodi ya ligi mechi imeahirishwa!
2021 Yanga walipo kataa kucheza sababu bodi ya ligi ilibadili muda wa mchezo kinyume na kanuni.3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?
Kama kitu hukijui uliza...sio unavamia tu kama mlevi!Maswali mengine kujitia aibu tu.
Wewe uliona barua rasmi iliyo wasilishwa Yanga ya kuhairisha mechi kabla hawajaenda uwanjani?
Wanayanga hatudai pointi hapa jf,hoja ya kujieleza pale muda utakapofika,majibu yatawasilishwa bodi ya ligi na viongozi wetu.Sisi wanachama hatutoi majibu,wajibu wetu sisi ni kulipa ada,kutoa michango na kwenda uwanjani kuishangilia timu yetu ya yanga1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni?
2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF?
3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda / ikashinda?
4. Bodi yoyote ile ya Ligi huwa inavunjwa katikati ya Msimu wa Ligi au Ligi ikiwa bado inaendelea?
5. Baada ya Mechi kuahirishwa na Bodi (TFF) nani aliwaambia Mechi imetangazwa kurudiwa Bunju mlikoenda?
6. Kama Bodi ya Ligi Kuu isipovunjwa na mkapangiwa Michezo yenu mtaacha kucheza au mtaendelea kucheza?
7. Kama Bodi ya Ligi (TPLB) ni Mali na sehemu ya TFF kwanini hamkuwalaumu TFF hasa Rais Karia na mmewalaumu tu Watu wawilia ambao ni mwana Yanga SC kindakindaki Mzee Steven Mguto na mwana Yanga SC lia lia mwenzenu Almasi Kasongo?
Wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums tafadhali tutulieni tusome majibu ya hawa walioshindikana Oky?
Ukiwa ni Kinara wao.Tusije wote tukahesabiwa kuwa wajinga.