Wana Yanga SC muanze Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwani huenda 'Viongozi' wenu baadhi wakayaanza Maisha mapya Jela Segerea

Morrison alikamatwa na polisi juzikati na kupelekwa kituoni kwa mahojiano, baada ya kuandikishwa maelezo kutia sain ya kuyakubali maelezo yake pale tayari kilakitu kilipatikana. Tayari sain yake itakwenda kulinganishwa na ile aliyo mwagika katika mkataba wa GSM. Mbumbumbu mkiambiwa Yanga ni Taasisi kubwa hamwamin Sasa subirini. Waalimu wa Morrison apa Tanzania ni Mbumbumbu fc ambao hawajui wanancho kifanya.
Jiandae kuwekewa oxygen machine ni swala la mda
 
Inabid polisi nao wangalie history ya mchezaji, south Africa to congo to ghana to young
 
Morrison alikamatwa na polisi juzikati na kupelekwa kituoni kwa mahojiano, baada ya kuandikishwa maelezo kutia sain ya kuyakubali maelezo yake pale tayari kilakitu kilipatikana. Tayari sain yake itakwenda kulinganishwa na ile aliyo mwagika katika mkataba wa GSM. Mbumbumbu mkiambiwa Yanga ni Taasisi kubwa hamwamin Sasa subirini. Waalimu wa Morrison apa Tanzania ni Mbumbumbu fc ambao hawajui wanancho kifanya.
Akili hauna wewe watashindwaje kupata saini wakati alishasaini nao miezi sita kwanini wasilinganishe naio
 
Polisi wanatakiwa wajiridhishe kwa kutumia upelelezi wao binafsi pasinashaka yoyote hawawezi kutumia nyaraka za Yanga pekee kujiridhisha, lazima waumize akili na kutumia mbinu za kipolisi.
 
Goodnight my people ( 800 X 640 ).jpg
 
Simba ina viongozi makini sana sitaki kuamini kuwa wanaweza kumtangaza Morisson kuwa mchezaji wao kabla ya kesi yake juu ya utata wa usajili wake Yanga kumalizika TFF na Polisi. Ikitokea Morison ameshindwa kesi na wao Simba wamemtangaza basi watalipa pesa nyingi sana na wanaweza hata kufungiwa kwa muda fulani kusajili wachezaji wapya. Hili viongozi wa Simba wanalijua vizuri sana na siamini kama wanaweza kuingia kwenye mtego wa ovyo kiasi hiki. Hizi taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Morison atatambulishwa leo naziona ni tetesi tu ambazo hazina ukweli wowote na ni kawaida sana kuzisikia kwenye vyombo vya habari kipindi hiki cha usajili. Vinginevyo labda Simba watakuwa wameshanusa uchunguzi wa Polisi na TFF kabla haujatangazwa kwa umma.

Lakini kwa nidhamu mbovu ya aliyoonyesha mpaka sasa Morison bado Simba wanataka kumsajili? Na iwapo watamsajili hawaoni kuwa itatoa picha mbaya kuwa wao ndio walikuwa nyuma ya sakata lote la Morison kuonyesha utovu wa nidhamu akiwa kwa mwajiri wake Yanga? Je Simba wamejiaandaaje kudhibiti nidhamu zake mbovu ili asiharibu morali ya timu yao ambayo kwa sasa haina matukio ya utovu wa nidhamu?

Ngoja nisiseme sana nisubiri nione mwisho wa hii "movie" ya kijana mwenye ndevu za karantini kutoka Ghana.
 
kwani hiyo kamati ya sheria na haki za wachezaji inaundwa na akina nani? for sure itakuwa imejaa mikia watupu,
 
BENARD MORRISON KUMALIZA 'MASINEMA' YAKE NA YANGA

Shirikisho la kabumbu nchini Tanzania (TFF) limesema hukumu ya madai ya kughushi saini ya mchezaji Bernard Morrison itatolewa Agosti 10 baada ya kazi ya uchunguzi iliyofanywa na Jeshi la Polisi kumalizika.

Kiungo huyo mshambuliaji kutoka nchini Ghana aliishitaki Young Africans kwa TFF, akidai kuwa saini yake imefaniwa fojari katika mkataba wa miaka miwili, ambao klabu hiyo yenye maskani yake kwenye makutano ta mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam, imeuwasilisha TFF na Shirikisho la kandanda duniani (FIFA).

Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF, Elias Mwanjala amesema kwa sasa wapo katika hatua za mwisho za uchunguzi wa suala hilo na hawana haja ya kuwa na papara ili kupata majibu sahihi.

Mwanjala amesema awali walipanga kutoa uamuzi wa suala hilo mwishoni mwa mwezi Julai na baadaye kupeleka mwanzoni mwa mwezi huu, lakini walishindwa kufanya hivyo kutokana na sababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wao.

globalpublishers

Kuna Watu walidhani ule 'Uhuni' wao waliokuwa wakiufanya wakati JK Yanga Mwenzao akiwa Madarakani basi na kwa JPM huyu watauendeleza tu.
Kaanze na Simba wenzenu kwanza pale tifua tifua kwanza
 
Simba ina viongozi makini sana sitaki kuamini kuwa wanaweza kumtangaza Morisson kuwa mchezaji wao kabla ya kesi yake juu ya utata wa usajili wake Yanga kumalizika TFF na Polisi. Ikitokea Morison ameshindwa kesi na wao Simba wamemtangaza basi watalipa pesa nyingi sana na wanaweza hata kufungiwa kwa muda fulani kusajili wachezaji wapya. Hili viongozi wa Simba wanalijua vizuri sana na siamini kama wanaweza kuingia kwenye mtego wa ovyo kiasi hiki. Hizi taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa Morison atatambulishwa leo naziona ni tetesi tu ambazo hazina ukweli wowote na ni kawaida sana kuzisikia kwenye vyombo vya habari kipindi hiki cha usajili. Vinginevyo labda Simba watakuwa wameshanusa uchunguzi wa Polisi na TFF kabla haujatangazwa kwa umma.

Lakini kwa nidhamu mbovu ya aliyoonyesha mpaka sasa Morison bado Simba wanataka kumsajili? Na iwapo watamsajili hawaoni kuwa itatoa picha mbaya kuwa wao ndio walikuwa nyuma ya sakata lote la Morison kuonyesha utovu wa nidhamu akiwa kwa mwajiri wake Yanga? Je Simba wamejiaandaaje kudhibiti nidhamu zake mbovu ili asiharibu morali ya timu yao ambayo kwa sasa haina matukio ya utovu wa nidhamu?

Ngoja nisiseme sana nisubiri nione mwisho wa hii "movie" ya kijana mwenye ndevu za karantini kutoka Ghana.
Tz hakuna viongozi,nyie mbumbumbu ndiyo mlileta shutuma kibao za Morisson,mnadhani akija kwenu ndiyo atabadilika? Kama Kaiser chief,As vita mpaka Yanga kashindwa na kila kitu hamalizi hata mwaka,eti viongozi makini? Tz Kuanzia shirikisho mpaka Simba na Yanga wote hawana jipya
 
Ndugu naomba rudia tena kusoma comment yangu hasa aya ya pili kabla haujaamua kunihukumu.
 
Morrison alikamatwa na polisi juzikati na kupelekwa kituoni kwa mahojiano, baada ya kuandikishwa maelezo kutia sain ya kuyakubali maelezo yake pale tayari kilakitu kilipatikana. Tayari sain yake itakwenda kulinganishwa na ile aliyo mwagika katika mkataba wa GSM. Mbumbumbu mkiambiwa Yanga ni Taasisi kubwa hamwamin Sasa subirini. Waalimu wa Morrison apa Tanzania ni Mbumbumbu fc ambao hawajui wanancho kifanya.
Sema hii nayo ni akili kubwa sana
 
Inabid polisi nao wangalie history ya mchezaji, south Africa to congo to ghana to young
Yaani badala ya manyani fc kufatilia historia ya mchezaji wanayemsajili hilo jukumu mnataka polisi walifanye kocha wenu hakukosea kuwaita uneducated kazi kubweka kama majibwa
 
Mkuu achana na hayo maneno ya kibaguzi ya aliyekuwa kocha wa Yanga,jikite tu kwenye uzi-kimchezo zaidi,kama walimsajili pasipokumjua basi wamejifunza na labda watakuwa makini kufuatlia mchezaji in and out ili kuepuka sintofahamu za namna hii tena juu ya mchezaji.
 
Hakuna ubaguzi ni jukumu la timu kumfatilia mchezaji kabla ya kumsajili hamuwezi kuhamisha magoli kwa kuwaambia polisi wafatilie historia yake
 
Mkuu wanaenda kweli kwani kuna Viongozi Wao kama Wawili hivi ndiyo wamemfanyia 'Uhuni' huo Bernard Morrison kwa 'Kuifoji' saini yake nzima.
Sasa hao TFF na polisi hawana weledi kabisa ...kwanini Kama ni kweli habari hizi zivuje?
 
Back
Top Bottom