Wana Yanga SC tukutane hapa ili tuanze Kutengeneza na Kubuni mapema sababu ya Kipigo tutakachokipata leo huko Botswana

Timu imeanza kuimarika,shida ilikuwa wachezaji wengi wapya na muunganiko hakuna,Nadhani tutakuwa hatari sana this season.

Daima mbele
 
Huwezi kuwa Simba kindakindaki na ukaitakia mema Yanga. Hatutaki shobo.
Mkuu ächa ushabiki wakijinga. Yanga inaiwakilisha nchi ndugu. Kama simba ingekua inajiwakilisha yenyewe matunda ya mafanikio yakufika robo fainali yasinge ineemesha nchi kupewa nafasi 4 tuelimike tuachane na ujima wa kuombeana mabaya uo ni uchawi mkuu.
 
Mkuu samahani sana kwa kukukwaza. Nchi yetu ikivamiwa najua tutakuwa bega kwa bega tukiipigania Ardhi yetu. hilo usiwe na wasiwasi nalo na mimi sina wasiwasi.
Ila, wewe ni mshabiki wa Simba kwa hiyo usitake kujipendekeza wakati moyoni unaumia.
Pia, Simba hakutuleta CAF Champins League. Tumechukua nafasi ya pili kwa kuonewa lakini jitihada hiyo ndiyo iliyotufikisha hapa.
Halafu Simba siyo timu yako, ni ya Kanjibai.
 
We jamaa ni mnafiki sana [emoji28][emoji28]
 
We jamaa ni mnafiki sana [emoji28][emoji28]

Kwanini tena mwana Yanga SC mwenzangu? Na Wewe bila shaka leo hii una furaha Kubwa kama niliyonayo Mimi hasa baada ya Chama langu / letu ya Yanga SC Kushinda. Hakuna kama Yanga SC Tanzania japo kwa Zesco FC ndiyo mwisho wetu ili tutumbukie Shirikisho huku tukiwatizama Watani zetu wanaojua Mpira hadi Wazungu wanawakubali Simba SC wakifanya vyema tu katika Mechi zao kuanzia na ile ya Kesho.
 
Teh ...
Bro inaonekana ulkua mwandishi mzuri sana wa essay
 
Teh ...
Bro inaonekana ulkua mwandishi mzuri sana wa essay

Kwanini Kiongozi? Halafu ni kwanini Siku za karibuni unapenda sana Kubadili hiyo Avatar yako? Umekumbwa na nini? Wana Yanga SC hatuko hivyo bhana!
 
Aibu yako mrithi wa sheikh,rollers 0-1 Yanga
 
Kwani Yanga wako kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho au Klabu Bingwa?
 
Umetoa pongezi nzuri ila ulichokosea umewaita Yanga Kanda 2 na Kwasu kwasu!
 
Xcupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…