Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

Pale tff chini ya kidau simon patrick ataonekana hajui,issue ya kagoma ilibidi aadhibiwe mchezaji issue ya awesu ilibidi simba iadhibiwe ni vile kidau kaweka ushabiki mbele so kuna evidence uwa anaupoteza sababu ya ushabiki,issue ya lawi alishindwa sbb ni timu ya mzee mguto na karia na wao awakutaka kuifavor simba sbb wagosi wanajua wangewabadilikia la sivyo lawi leo angekua simba pia
 
Kabisa kabisa.
 
Huyo Kagoma anafaa sana kucheza umbumbumbuni
 
Pale tff chini ya kidau simon patrick ataonekana hajui,issue ya kagoma ilibidi aadhibiwe mchezaji issue ya awesu ilibidi simba iadhibiwe ni vile kidau kaweka ushabiki mbele so kuna evidence uwa anaupoteza sababu ya ushabiki,issue ya lawi alishindwa sbb ni timu ya mzee mguto na karia na wao awakutaka kuifavor simba sbb wagosi wanajua wangewabadilikia la sivyo lawi leo angekua simba pia
Peleka malalamiko Cas; hawana ubaguzi hao.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Pale tff chini ya kidau simon patrick ataonekana hajui,issue ya kagoma ilibidi aadhibiwe mchezaji issue ya awesu ilibidi simba iadhibiwe ni vile kidau kaweka ushabiki mbele so kuna evidence uwa anaupoteza sababu ya ushabiki,issue ya lawi alishindwa sbb ni timu ya mzee mguto na karia na wao awakutaka kuifavor simba sbb wagosi wanajua wangewabadilikia la sivyo lawi leo angekua simba pia
Kidau anahusika vipi na kamati ya hadhi ya wachezaji, au umesahau ndiyo ilimzuia Feitoto kuondoka yanga
 
Back
Top Bottom