GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi 'warejeshwe' Kikosini upesi sana tu.
Endapo tu Uongozi wa Yanga SC hautanisikiliza Mimi GENTAMYCINE basi huenda leo hii hii nikajiunga rasmi kuwa Mshabiki wa Simba SC iliyo bora.
Endapo tu Uongozi wa Yanga SC hautanisikiliza Mimi GENTAMYCINE basi huenda leo hii hii nikajiunga rasmi kuwa Mshabiki wa Simba SC iliyo bora.