GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Karibu home of trophy mkuu!
Naona laana za Makonda zishaanza kukuandama😂😂😂😂😂😂
We MTU umezoea nyodo kila sekta, juzi tu umetoka kumnanga Lissu leo umekuja kwa Yanga.. Shida nn kama wabovu we inakuwashia nn.. Tuambie wapi ulishawahi kucheza mpira japo wa ufukweni
Mhhh, Hakuna Mpira hapoNiliocheza nao Mpira hasa huko nchini Uganda, Kitaani Kinondoni na kidogo Chuoni hadi leo wananishangaa kwanini sikuendelea tu Kucheza Mpira.
Huo ni upopoma sasa,ulilazimishwa kuipenda Yanga??Toa na wewe hela usajili🤗Nimewaangalia Jana hawana sijui akina Kisinda, Sarpong na Tonombe hawana lolote Mkuu na hapa GSM na akina Msola 'wametutusi' wana Yanga.
Naupa Uongozi wa Yanga SC na Wafadhili wetu akina GSM kama hadi Usiku wasipowaacha akina Kisinda, Sarpong na Tonombe nahamia Simba SC.
Duh...... Wewe Ni kiumbe pekee mwanachama wa Simba na Yanga.Nikiwa kama mwana Yanga SC tena Mwanachama wake kabisa GENTAMYCINE mapema kabisa kabla hata 'Dirisha' la Usajili halijafungwa Usiku wa leo nakuwa wa Kwanza kabisa Kupinga 'Usajili' huu 'Mbovu' kabisa wa hawa Wachezaji akina Kisinda, Sarpong na Tonombe badala yake nataka akina Yikpe, Molinga na Tshishimbi 'warejeshwe' Kikosini upesi sana tu.
Endapo tu Uongozi wa Yanga SC hautanisikiliza Mimi GENTAMYCINE basi huenda leo hii hii nikajiunga rasmi kuwa Mshabiki wa Simba SC iliyo bora.
Toka lini umekuwa mwana Yanga wakati unajulikana kabisa wewe ni mwana Simba kindaki ndaki?Nimewaangalia Jana hawana sijui akina Kisinda, Sarpong na Tonombe hawana lolote Mkuu na hapa GSM na akina Msola 'wametutusi' wana Yanga.
Hili jibu kwa huyu jamaa unaweza kuombea mkopo bankHuo ni upopoma sasa,ulilazimishwa kuipenda Yanga??Toa na wewe hela usajili[emoji847]
Gentamycine ana mambo! Kuna siku alisema ili Simba amfunge Yanga inahitajika mwanachama au mshabiki mmoja wa Simba atolewe kafara halafu azikwe National Stadium pale!Toka lini umekuwa mwana Yanga wakati unajulikana kabisa wewe ni mwana Simba kindaki ndaki?
Kuna kifaa kingine kimetua Jangwani leo. Hii Yanga ya mwaka huu naitabilia kuwa itafanya vizuri kwenye michuano ya Club Bingwa Africa na hapa nchini Ubingwa unaweza kwenda Jangwani.