Wana Yanga SC Wenzangu alianza Injinia Hersi kwa Kauli ya Dharau na Leo tena Bumbuli kairejea, hivyo tusikubali na GSM waondoke haraka hata kwa Bakora

Wana Yanga SC Wenzangu alianza Injinia Hersi kwa Kauli ya Dharau na Leo tena Bumbuli kairejea, hivyo tusikubali na GSM waondoke haraka hata kwa Bakora

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Tunawataka wana Yanga SC wote wajisajili kwa huu Mfumo wa Kielektroniki ili tuwe tunswajua wale ambao watakuwa wana misbehave kwani hivi sasa ili mwana Yanga SC uwe na ruhusa ya Kutusema, Kutukosoa au kutupigia Kelele yakupa uwe umeshajisajili kwa Mtindo huu na uwe Umelipia Ada yako vinginevyo hutosikilizwa" Hassan Bumbuli Afisa Habari Yanga SC.

Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM leo na Spoti Leo ya Radio One.

Hivi wana Yanga SC Wenzangu ni kwanini huyu GSM ma Injinia Hersi wake pamoja na hawa akina Bumbuli na Manara wanapenda Kutufanya Sisi wana Yanga SC wote ni Mazuzu ( Mandunduna ) na Wapumbavu ( Mapopoma ) halafu tunawanyamazia hivi?

Sasa naomba tuache kabisa Uwoga na twendeni Klabuni pale Jangwani Kesho tukagomee kila lifanywalo na GSM ndani ya Klabu yetu ya Yanga SC na kisha twendeni kwa Wachezaji tuwaambie kuwa Wajifungishe hasa Mechi ya NBC Premier League Jumapili hii na pia na Mbao FC Wikiendi ijayo katika Michuano ya ASFC ili tuwakomeshe.

Wana Yanga SC tuungane katika hili kwani GSM na akina Manara na Bumbuli wameshatuona ,'hamnazo' hivyo na Sisi tusikubali na kama vipi watuachie tu Timu yetu kwani hata Sisi tunaweza Kuihudumia tena kuliko Wao ( GSM ) ambao Kutwa wanatunyonya zaidi na Yanga SC haifadiki na lolote lile zaidi ya Kudanganywa danganywa kila Siku ( Uchao )
 
Kiukweli hawa kina hersi na bumbuli wanatuona sisi mashabiki vitoga, sijapenda.

Kama mnavyojua mimi ni yanga lia lia (haters watabisha) naona kabisa kuna point ya kuzingatia kutoka kwa mleta mada ambaye naye kimsingi ni yanga (haters watabisha tena)

Namimi nimeona niweke mawili matatu

Baada ya kuona makolo wamepoteza mechi wakaona sasa huo ndio muda sahihi kutema shombo zao, niliupenda ule ukimya uliojitokeza baada ya kutolewa na azam kule zenji

Walijua kwamba kile kipindi hakikuwa sahihi kwa wao kuongelea habari hizi za 29,000 wakasubiri gubu ituishe wajianze upya.

Yanga yetu hii haikuwahi kuwa na mfumo huu wa kutoa kauli zisizo na staha kwa mashabiki, lakini tumeanza kushuhudia haya baada ya kukaribisha kirusi kutoka kwa wahasimu wetu

Sasa nasema hii timu ni ya wananchi, GSM kuwekeza vibukubuku alivyovipata kwenye vigodoro vyake isiwe sababu ya kutuona sisi ni mazuzu, au kwakua tunaongoza ligi basi ndo watufanye mandondocha kwamba wanatupelekesha watakavyo, nasema hiyo haiwezekani tutazua utata zaidi ya vagi la machinga kuchomewa soko lao
 
Wanayanga tulipe iyo 29000 achaneni na Makolo msimu ujao tunaenda klabu bingwa timu lazma iwe na hela ya kutosha kwa ajili ya maandalizi na usajili...Makolo wanataka tusichangie timu yetu ili huo msimu wa klabu bingwa tutoke hatua za awali wakati wao wametoboa mara mbili robo fainali ndani ya miaka hii mnne[emoji2959]
 
Kiukweli hawa kina hersi na bumbuli wanatuona sisi mashabiki vitoga, sijapenda.

Kama mnavyojua mimi ni yanga lia lia (haters watabisha) naona kabisa kuna point ya kuzingatia kutoka kwa mleta mada ambaye naye kimsingi ni yanga (haters watabisha tena)

Namimi nimeona niweke mawili matatu

Baada ya kuona makolo wamepoteza mechi wakaona sasa huo ndio muda sahihi kutema shombo zao, niliupenda ule ukimya uliojitokeza baada ya kutolewa na azam kule zenji

Walijua kwamba kile kipindi hakikuwa sahihi kwa wao kuongelea habari hizi za 29,000 wakasubiri gubu ituishe wajianze upya.

Yanga yetu hii haikuwahi kuwa na mfumo huu wa kutoa kauli zisizo na staha kwa mashabiki, lakini tumeanza kushuhudia haya baada ya kukaribisha kirusi kutoka kwa wahasimu wetu

Sasa nasema hii timu ni ya wananchi, GSM kuwekeza vibukubuku alivyovipata kwenye vigodoro vyake isiwe sababu ya kutuona sisi ni mazuzu, au kwakua tunaongoza ligi basi ndo watufanye mandondocha kwamba wanatupelekesha watakavyo, nasema hiyo haiwezekani tutatua utata zaidi ya vagi la machinga kuchomewa soko lao
Ona hili nalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga kwelikweli makolo yamevurugwa. Mechi ijayo ni mtibwa "MANUNGUUUUU"
 
hivi hawa viongozi wetu wanatuonaje sisi wana uto fc?
hersi ni ntu ya dili
 
Kiukweli hawa kina hersi na bumbuli wanatuona sisi mashabiki vitoga, sijapenda.

Kama mnavyojua mimi ni yanga lia lia (haters watabisha) naona kabisa kuna point ya kuzingatia kutoka kwa mleta mada ambaye naye kimsingi ni yanga (haters watabisha tena)

Namimi nimeona niweke mawili matatu

Baada ya kuona makolo wamepoteza mechi wakaona sasa huo ndio muda sahihi kutema shombo zao, niliupenda ule ukimya uliojitokeza baada ya kutolewa na azam kule zenji

Walijua kwamba kile kipindi hakikuwa sahihi kwa wao kuongelea habari hizi za 29,000 wakasubiri gubu ituishe wajianze upya.

Yanga yetu hii haikuwahi kuwa na mfumo huu wa kutoa kauli zisizo na staha kwa mashabiki, lakini tumeanza kushuhudia haya baada ya kukaribisha kirusi kutoka kwa wahasimu wetu

Sasa nasema hii timu ni ya wananchi, GSM kuwekeza vibukubuku alivyovipata kwenye vigodoro vyake isiwe sababu ya kutuona sisi ni mazuzu, au kwakua tunaongoza ligi basi ndo watufanye mandondocha kwamba wanatupelekesha watakavyo, nasema hiyo haiwezekani tutazua utata zaidi ya vagi la machinga kuchomewa soko lao
Leo simu ina charge? siku ya game ya Mbeya City ulipotea
 
Wananchi tumejaza vikaragosi wa Makolo.. Hersi, GSM, Haji , Senzo, etc. Tumechoka ss, they must go
 
una mauvimu makali sana kalipe 29000 uje uchati kwa amani
Yanga hii maumivu inanipa lini!!!yaani sana sana itanipa kisukari tu kwa burudani nzuri ya soka!!maumivu unayo ww ambaye bado kimoko cha Paul Nonga kimekungangania!!MAKOLO BANA!!embu pata fanta baridi hapo dukani ushushe stress mtani!
 
Ni ukweli usiopingika kwamba , timu za waarabu hasa kutoka ukanda wa kaskazini mwa Afrika zimekuwa zinazipa wakati mgumu timu zetu kongwe hapa nchini simba na Yanga pale zinapokutana katika michuano mbalimbali inayoandaliwa na shirikisho la mpira barani Afrika (CAF ) . Kupitia uzi huu , tujuzane ni timu gani Kati ya hizi timu mbili ,simba na Yanga ambayo angalau imekuwa ikitoa upinzani kwa timu hizo za Kiarabu . Na kama kuna mwenye takwimu za mipambano ya vilabu hivyo dhidi ya hao waarabu atuwekee humu jamvini.
 
Makolo yamevurugwa na KIMOKO imeanzisha IDs kibao inajisapoti yenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom