Wana Yanga SC Wenzangu alianza Injinia Hersi kwa Kauli ya Dharau na Leo tena Bumbuli kairejea, hivyo tusikubali na GSM waondoke haraka hata kwa Bakora

Takwimu kama hizi View attachment 2088438View attachment 2088439View attachment 2088437
 
Mwambiemi Mugali Kaua Mtu...Aache kukosa kosa Mapenati ovyo ovyo.[emoji23][emoji23]
 
Unataka ukosoe tu Ili Hali hutaki changia maendeleo ya timu

Yaani kwenye kujenga timu hutaki wewe ukae tu kuongea, bumbuli yuko sahihi sana
Mkuu tangu mpingwe na mbeya city akili zimewaruka ngoja mtibwa akawamalizie
 
Naunga hoja mkono
 
Yanga hii maumivu inanipa lini!!!yaani sana sana itanipa kisukari tu kwa burudani nzuri ya soka!!maumivu unayo ww ambaye bado kimoko cha Paul Nonga kimekungangania!!MAKOLO BANA!!embu pata fanta baridi hapo dukani ushushe stress mtani!
naam nipo nakula ice cream ya azam hapa na kombe langu la mapinduzi vipi wewe
 
Chupli chupli.Mtakufa kwa pressure . GSM baba lao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…