Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

Umeongea kwa uchungu sana mkuu. Pole! Inauma sana simba kufanya vizuri na kutokua na migogoro na kila mchezaji kutamani kuchezea simba sc huku kwenu mkidangamywadanganywa na engineer. Pole mtani ila ndio maisha. Nashauri watoto wako waweke mbali na yanga kwa ustawi wao.
 
Najua unaumia sana...ila ndio hivyo tena hamna naman!
Endeleeni kukalia msumali, sie tunazidi kuuchonga na kuupasha moto ili muinjoi kuukalia zaidi.
Nimekueleza weka hapa mmemnunua kwa bei gani huyo Miquisson; mbona hujafanya hivyo?! Au kwavile unajua na mwenyewe kanunuliwa kwa vidola elf kadhaa tu?!
 
So utopolo ndo mnauwezo wa kununua mchezaji kwa 500m???subirin msajiliwe wachezaji wa mafungu mafungu mpaka akili iwake sawa, simba # another level Africa masharika na kati hatuna mpinza we endelea kubweka simba ndo inachanja mbuga
kwani kuna mahali nimesema tunanunua mchezaji kwa 500M? Btw, hiyo Afrika Mashariki na Kati unayoisema wewe ni ipi?! Kwa kumbukumbu zangu, umewahi kutandikwa 4 na Mazembe, umewahi kutandikwa 5 na Vita! Sasa another level Afrika Mashariki na Kati ipi?! Na ni mwaka jana tu hapa mlitolewa na majirani zetu wa Kimakonde, na timu iliyowatoa haina historia yoyote kwenye soka la Afrika!!! Tena muwashukuru UD Songo manake waliwaepusha na ile aibu ya kwenda kula gwala gwala kama mmesimama πŸ˜€!!!
 
As vita nilijipigia vzr naakabuluza mkia kwanye kundi,,TP nimetoa na sare so ukiwa unaonge inatakiwa utoe akili mgando ya kiutopolo ,,,itetetee Utopolo yako sio una itetea As vita ,sawa bwana ngedele
 
Mimi ni Yanga mwenzio ACHA UONGO.ACHA UONGO WA KIJINGA. YANGA TULIMTAKA LARRY BWALYA. NA TULISHAFIKIA HATUA YA MWISHO KABISA.HAWA WAHUNI WAMEKUJA KUTUPORA. UONGO UTATUSAIDIA NINI?





 
Kuna juhudi kubwa kuivuruga yanga
Sababu kubwa ni mwelekeo wa mabadiliko yanayo kuja yanga yakisimamiwa na la liga
Uwekezaji wa Simba umefeli mwaka wa tatu sasa
 
Kuna juhudi kubwa kuivuruga yanga
Sababu kubwa ni mwelekeo wa mabadiliko yanayo kuja yanga yakisimamiwa na la liga
Uwekezaji wa Simba umefeli mwaka wa tatu sasa
Uwekezaji Umefali kitugan?? Wengedele toka muingia mkataba na laliga timu za laliga zinafanya vibaya sana huon mmepeleka gundu hadi la liga
 
Hakiyanani hii mijadala ingekua live ngumi zingerushwa! Yaani kuna wadau wanatoa povu hatari! Mwisho wa siku hii ni burudani tu.
 
Kadi yako ya uanachama wa mikia ni namba ngapi vile??
 
kwanza amabye ana access na group lolote la yanga aniweke kwenye group wadau namba 0692942605
 
Sasa huu ni ujanja ana nini?
 
Mimi kama mwanayanga tena 'lia lia' kabisa kwa huu 'Upuuzi' naomba kuhamia rasmi Kwenu Simba Sports Club Mkuu kwani 'imenivutia' sana tu.
viongozi wetu pale shida sana yaani utadhani bendera fuata upepo
 
Ngoja nikudharau manake ni mpuuzi tu ndie anaweza kutumia kauli za kibaguzi zinazotumika na wabaguzi! Na kwa kukosa kujitambua kwako ndo maana wala hufahamu kwamba kwa Mzungu Mbaguzi; wewe na familia yako yote ni manyani tu! Shame on You!

Hii Nyani imekuja hapa kuwawakilisha Manyani FC
 
Kuna juhudi kubwa kuivuruga yanga
Sababu kubwa ni mwelekeo wa mabadiliko yanayo kuja yanga yakisimamiwa na la liga
Uwekezaji wa Simba umefeli mwaka wa tatu sasa

Uwekezaji wa Simba umefeli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haki ya nani akili za Manyani FC hazisaidii hata kupambanua usiku na mchana.
 
kwanza amabye ana access na group lolote la yanga aniweke kwenye group wadau namba 0692942605

Hii namba ni kama namba ambayo nimeiona ikizunguka sehemu mbalimbali Watu wakitahadharisha kuwa inatapeli sana Watu. Ngoja niithibitishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…