The problem tule tubilioni 20 twa Dewji ndo mnadhani Simba ni matajiri kweli kweli! Guys, "utajiri" wa Simba ni wa Kibongobongo tu, na kwahiyo bado hajawa na ubavu wa kutoa 500M kununua mchezaji! Kwa Afrika, 500M inalipwa kwa Top Players lakini Simba hadi kesho hana ubavu wa kununua top players in Afrika, na ndio maana hadi kesho mnaishia kuzunguka huku huku SADC, na mkienda north or west, mtaishia kuchukua wachezaji ambao hawana ubavu wa kucheza timu kubwa sio tu za north or west bali hata zile za South Africa!!! Yote kwa yote bado nasisitiza; acheni kukurupuka kwa sababu interest ya Yanga ipo kwa Walter Bwalya na sio Larry Bwalya! Hawa ni wachezaji wawili tofauti.