Wana Yanga SC Wenzangu hivi ni mpaka lini Simba SC itaendelea 'Kutunyayasa' namna hii katika Usajili? Tuwafukuzeni upesi GSM na Msola watuachie Timu

Mikia/Mbumbumbu ni timu ya ajabu yaani wanakusanya tu wachezaji mradi akisikia anahitajika na Yanga angalia sasa wachezaji wa kugenu wamefika 12 wao ni kutega masikio mchezaji gani ametajwa na timu ya wananchi Ajibu Kakolanya Gadiel wako wapi
 
Kwani na Sisi Yanga SC tunashindwa nini Kuwakusanya Wachezaji Wao wazur wakati kila Siku tunajitapa kuwa nasi tuna akina GSM na Njaa haipo?
 
Mahana=maana
Inshu=ishu
Mnyama mkali Simbaaaaa
 
Utopolo mkichukua Walter Bwalya najipiga ban ya mwaka mzima
 
Utopolo mkichukua Walter Bwalya najipiga ban ya mwaka mzima

Na Sisi Yanga SC kama kweli tutamchukua Mshambuliaji hatari na mahiri Heritier Makambo ( Bandeko Nangai / Mkongo ) huyu nitaipenda Yanga.
 
Baada ya kuwa nae kwa muda mrefu 'Kimahusiano' Yule aliyekufanya leo hii upo nasi hapa duniani na 'Kuachana' nae ndiyo kaniharibu Kisaikolojia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Mikia/Mbumbumbu ni timu ya ajabu yaani wanakusanya tu wachezaji mradi akisikia anahitajika na Yanga angalia sasa wachezaji wa kugenu wamefika 12 wao ni kutega masikio mchezaji gani ametajwa na timu ya wananchi Ajibu Kakolanya Gadiel wako wapi
Tulieni dawa iwaingie fresh washamba wakubwa nyie
 
pole yako wapo sana
 
Kimeumana😂😂
 
Usajili muhimu kuna wachezaji inabidi kwa heshima tuwapumzishe
Niyonzima
Nchimbi
Kaseke
Kibwana

Hawa nao wawe kwenye uangalizi
Faisal
Zawadi
Farid
Yacouba

Waletwe Wachezaji Kariba ya akina Tk,Saidor,Carlinhous...tena hasa ma straikers na midifielders.waungane na hawa waliopo kitawaka!

Kingine wana Yanga wenzangu nina imani kubwa kua simba wanaturogea sana wachezaji wetu,wanakua wazito uwanjani na kukosa goli za wazi ,uchawi huu unatukosti sana,hivyo lawama tulaumu ila tukumbuke na hili nalo lipo.
Hivi leo kwa simba walivyo muda huu hata akirudi Makambo pale atakua anazunguka tu uwanjani

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…