Sawa ....siku nyingine usijifanye kuwa wewe ni Yanga wakati ni mikia1397680245
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ....siku nyingine usijifanye kuwa wewe ni Yanga wakati ni mikia1397680245
Mikia/Mbumbumbu ni timu ya ajabu yaani wanakusanya tu wachezaji mradi akisikia anahitajika na Yanga angalia sasa wachezaji wa kugenu wamefika 12 wao ni kutega masikio mchezaji gani ametajwa na timu ya wananchi Ajibu Kakolanya Gadiel wako wapi
Mahana=maanakila nikiona Post zako huwa najiuliza wewe jamaa utakua una tatizo kama sio matatizo, ila navyoona inawezekana kabisa una stress ila sijui ni za nini, nakushauri tu jaribu kutafuta watu wasaikolojia wanaweza kukusaidia, kwani licha ya kua unaleta thread zisizo na mahana ajabu hua unajikubali nakujiona kua wewe ni genius kumbe inawezekana dishi limeyumba.
Lakini isiwe inshu sana, najaribu tu kukupa ushauri
Utopolo mkichukua Walter Bwalya najipiga ban ya mwaka mzimaThe problem tule tubilioni 20 twa Dewji ndo mnadhani Simba ni matajiri kweli kweli! Guys, "utajiri" wa Simba ni wa Kibongobongo tu, na kwahiyo bado hajawa na ubavu wa kutoa 500M kununua mchezaji! Kwa Afrika, 500M inalipwa kwa Top Players lakini Simba hadi kesho hana ubavu wa kununua top players in Afrika, na ndio maana hadi kesho mnaishia kuzunguka huku huku SADC, na mkienda north or west, mtaishia kuchukua wachezaji ambao hawana ubavu wa kucheza timu kubwa sio tu za north or west bali hata zile za South Africa!!! Yote kwa yote bado nasisitiza; acheni kukurupuka kwa sababu interest ya Yanga ipo kwa Walter Bwalya na sio Larry Bwalya! Hawa ni wachezaji wawili tofauti.
Utopolo mkichukua Walter Bwalya najipiga ban ya mwaka mzima
sawa mwalimu wa kiswahili kutoka mikia FCMahana=maana
Inshu=ishu
Mnyama mkali Simbaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Baada ya kuwa nae kwa muda mrefu 'Kimahusiano' Yule aliyekufanya leo hii upo nasi hapa duniani na 'Kuachana' nae ndiyo kaniharibu Kisaikolojia.
Utopolo wana kimaviUwekezaji Umefali kitugan?? Wengedele toka muingia mkataba na laliga timu za laliga zinafanya vibaya sana huon mmepeleka gundu hadi la liga
Tulieni dawa iwaingie fresh washamba wakubwa nyieMikia/Mbumbumbu ni timu ya ajabu yaani wanakusanya tu wachezaji mradi akisikia anahitajika na Yanga angalia sasa wachezaji wa kugenu wamefika 12 wao ni kutega masikio mchezaji gani ametajwa na timu ya wananchi Ajibu Kakolanya Gadiel wako wapi
pole yako wapo sanaNikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee.
Wiki ya Jana Yanga SC tulikuwa tunamleta Bonge la Beki ambaye ni zaidi ya Bakari Nondo Mwamnyeto aitwae Ibrahim Ami aje 'Kusinya / Kusaini' Kwetu Yanga SC cha 'Kushangaza' Klabu tusiyoipenda ila inayopendwa mno na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club ikamsajili na sasa ni Mali yao kabisa.
Mwanzoni mwa Wiki hii wana Yanga SC tulikuwa tunajua kabisa kuwa Kiungo 'Mahiri' kutoka Ghana ambaye pia ni Wakili Msomi na wa Kujitegemea Bernard Morrison ni Mali ya Yanga SC kumbe ameshakuwa ni Mali ya Simba Sports Club kitu ambacho ni 'Hatari' sana Kwetu kwani mpaka hivi sasa ndani ya Yanga SC sijaona Beki ya 'Kumkaba' huyu Morrison ukiachia akina Chama na Miquissone.
Kubwa kuliko na hii ndiyo 'imeniuma' sana hadi sasa nataka wanayanga Wenzangu wowote popote pale mlipo 'tujitokeze' na 'tuwatimue' hawa 'Wanafiki' akina GSM pamoja na Mwenyekiti Wetu Mshindo Msola kwani wameshaonyesha kuwa ni 'Waongo' na 'Matapeli' tu pia hasa linapokuja Suala zima la Usajii.
Ni muda mfupi tu umepita Yanga SC tulikuwa tunategemea 'Kumpokea' Kiungo Mshambuliaji 'Hatari' kabisa ambaye uwezo wake Uwanjani ni 'maradufu' ya Clatous Chama aitwae Larry Bwalya. Cha 'Kushangaza' GSM na Mwenyekiti Msola pamoja na Magazeti ya Michezo 'yalituaminisha' Wiki nzima kuwa ni Mali ya Yanga SC na hatimaye 'ameshasinya / ameshasaini' Simba Sports Club.
Kwa hasira nilizonazo GENTAMYCINE nawapa GSM na Mwenyekiti Msola Saa 72 tu zijazo watuachie Yanga SC yetu na itakuwa chini yetu Mashabiki.
Kimeumana😂😂Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee.