Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
yup
Captain yupi tena mkude au mgosi
Hansiii papaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yup
Captain yupi tena mkude au mgosi
Si muda mrefu atakula maneno yake. Mzaramo halisi.
Maneno pwani ndio kwake...Si muda mrefu atakula maneno yake. Mzaramo halisi.
Vitendo?Maneno pwani ndio kwake...
Vitendo Anko Magu Mtt wetu ndio maana tumewapa chuma kile...Vitendo?
Vitendo viovu, vyenye hila, vyenye nia mbaya. Tumepatwa pakubwaVitendo Anko Magu Mtt wetu ndio maana tumewapa chuma kile...
Nyie tu sie tupo msoga ndio kwanza tunamuomba Mama Salma alete chai ya maziwa tunywe...Vitendo viovu, vyenye hila, vyenye nia mbaya. Tumepatwa pakubwa
Siku njema ndugu yngu...Vitendo viovu, vyenye hila, vyenye nia mbaya. Tumepatwa pakubwa
Shida yote ilianzia hapo.Siku njema ndugu yngu...View attachment 1087698
Nikiwa kama Mwana Yanga SC naomba tumchague Profesa Mshindo Msolla kama Mwenyekiti wa Timu yetu na Eliud Mvela kama Makamu wa Mwenyekirti. Siku ya Jumapili nami GENTAMYCINE nitakuwepo pale Police Officers Mess katika Kupiga Kura yangu hivyo kama Wewe ni Mwana Yanga SC mwenzangu usiniangushe tafadhali na kwa pamoja au umoja wetu tuwachague hawa Watu niliowataja hapa.
Ukiona Kitu chochote GENTAMYCINE anakipenda basi jua ' Kimebarikiwa ' hadi na Mwenyezi Mungu na Malaika wake akina Jibrili na Mikaela hivyo Siku ya Jumapili nitawadharau mno Wana Yanga SC wenzangu kama hatutowachagua akina Mshindo Msolla na Eliud Mvela Kutuongoza.
Nina uhakika kama wana Yanga SC wenzangu wote tutawapa hawa dhamana Kuu juu ya Klabu yetu basi Kombe hili la Ligi Kuu tunabeba, lile la ASFC tunabeba, Kombe la Kagame tunabeba, Kombe la Mapinduzi tunabeba na Kombe la Klabu Afrika tunabeba pia kwani Simba SC wamebahatisha tu na wala hawatuwezi ng'o.
Na mkiwachagua hawa Mshindo Msolla na Eliud Mvela wana Yanga SC wenzangu Simba SC tena hii mbovu mbovu kabisa haitotufunga tena ila mkiwachagua tu Wagombea wengine mtakuja Kujuta na Kunikumbuka Mimi mwana Yanga SC mwenzenu GENTAMYCINE.
Na kuhusu Ubingwa wa Ligi ( TPL ) wala wana Yanga SC wenzangu msiogope au kuwa na Hofu yoyote ile kwani Simba SC hawatutishi kabisa kwani Mechi zao Kumi ( 10 ) zilizobaki kuanzia hii ya leo wanaenda Kufungwa zote. Ila yote haya yatatokea kama tu mkiwachagua akina Mshindo Msolla na Eliud Mvela hiyo Siku ya Jumapili.
Naomba kila mwana Yanga SC hapa Mtandaoni JamiiForums ' aifowadi ' hii ' thread ' yangu kwa wana Yanga SC wote na isambae upesi na hakikisheni mnawaambia kuwa mwana Yanga SC mwenzao Mimi GENTAMYCINE nimesema wasiniangushe hiyo Jumapili tafadhali.
Naipenda mno na sana Klabu yangu ya Yanga SC na hata wana JamiiForums wote hapa wanalijua hili.
Nawasilisha.