MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
Popoma katika ubora wako.Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf mjitokeze mtuombe msamaha members huku, mlimpa tuzo huyu kichaa!
Ana ID 200 na alishinda kwa kura 200.Jf mjitokeze mtuombe msamaha members huku, mlimpa tuzo huyu kichaa!
AahaaaaJf mjitokeze mtuombe msamaha members huku, mlimpa tuzo huyu kichaa!
🤣🤣🤣 Duuh! Wewe ni kiboko, umerudi Tena kwa ID nyingine mtani!!!Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
Ni mtoto wao kipenziIfikie tu wakati Mods watoe tamko rasmi la kushindwa kumdhibiti Popoma.
Uzi wenyewe umejichanganya.Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.
Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.
Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
Hiyo paragraph mbona umejichanganya sana? Genta anaichafua Simba! Ila Jumapili atanyamaza na kuivulia kofia Yanga!amezidi kutamba na kuichafua Simba SC ila kwa kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia kofia kabisa Yanga SC.