Wana Yanga SC Wenzangu mkimpa tu 'Kura' zenu Injinia Hersi Said natangaza Kuhamia rasmi Simba SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi Kuhamia Simba SC ambako nimeshaoteshwa kuwa Mwakani ( Msimu Ujao ) kutakuwa ni Kutamu na Kumenoga zaidi kwani kuna Majembe mapya kama Nane ( 8 ) hivi tena ya maana yanaenda Kusajiliwa ambapo kuna uwezelano mkubwa tu Simba SC ya Msimu ujao ikawa Bingwa ndani tu ya Mzunguko wa Kwanza wa Ligi Kuu ya NBC.

Tutanuniana sana mwaka huu Kudadadeki.
 
We ni kolo sema naam
 
Ila Genta dahh!
 
Saa itakuwaje [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Screenshot_20220612-193418.jpg
 
Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi Kuhamia Simba SC ambako nimeshaoteshwa kuwa Mwakani ( Msimu Ujao ) kutakuwa ni Kutamu na Kumenoga zaidi kwani kuna Majembe mapya kama Nane ( 8 ) hivi tena ya maana yanaenda Kusajiliwa ambapo kuna uwezelano mkubwa tu Simba SC ya Msimu ujao ikawa Bingwa ndani tu ya Mzunguko wa Kwanza wa Ligi Kuu ya NBC.

Tutanuniana sana mwaka huu Kudadadeki.
hahahaha hamia tu hukohuko makolokoloniii!!!YANGA NI LIDUDE LIKUBWAAAA HVIII HULIWEZI!
 
Wengi wenu hamnifahamu ' Personally' hivyo koseeni tu mumpe Kura zenu za Njaa na Kutumika na GSM kwa kumpa Urais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kisha GENTAMYCINE nipandwe na Hasira zangu Kali za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi kutoka nchini Rwanda na niitoshe 'Press Conference' ya Kutangaza rasmi Kuhamia Simba SC ambako nimeshaoteshwa kuwa Mwakani ( Msimu Ujao ) kutakuwa ni Kutamu na Kumenoga zaidi kwani kuna Majembe mapya kama Nane ( 8 ) hivi tena ya maana yanaenda Kusajiliwa ambapo kuna uwezelano mkubwa tu Simba SC ya Msimu ujao ikawa Bingwa ndani tu ya Mzunguko wa Kwanza wa Ligi Kuu ya NBC.

Tutanuniana sana mwaka huu Kudadadeki.
Jamaa utakuwa tahira aisee....we si umesema ni mwana yanga? Vp hapa tena 👇🤔
 
Attachments

  • IMG_20220615_213846.jpg
    IMG_20220615_213846.jpg
    26.7 KB · Views: 7
Back
Top Bottom