Wana Yanga SC wenzangu nashauri Kikosi chetu cha Kumuua Mnyama Jumamosi kiwe hiki

Sikuwahi kuwaza kama mtu mwenye akili zake timamu kama wewe anaweza kuwa mshabiki na mpenzi wa mambumbumbu fc! Tangu nimejua hilo nimejikuta nakuona nawe ni mbumbumbu pia vile vile ...tuache na Yanga yetu timu ya wenye uelewa
 
  1. Among life's many mysteries, I have often wondered why we designate as 'common sense' a trait in such short supply? - Anonymous -
 
Lugha uliyotumia inadhihirisha upumbavu ulio nao, siwezi kukuchukia mtu nisiyekufaham.
 
Kapange kulialia FC... Kwanza, sisi cha kwetu tuachie wenyewe
 
Mkuu... Msikilize Ndala mwezako ikiwezekana mjadili hili la Simba SC kutaka kuchezesha wachezaji 8 uwanjani badala ya 11 wanajiamini nini?

Maana wanasema Mnyama ataondoka na goli 3 bila majibu
 
Lugha uliyotumia inadhihirisha upumbavu ulio nao, siwezi kukuchukia mtu nisiyekufaham.

Ni kweli Mkuu hata hivyo ' Upumbavu ' nilionao haujauzidi ule uliopo katika Familia yako na Koo zako zote mbili ya Kiumeni na Kiukeni.
 
Utakuwa shabiki wa mnyama wewe!!!!
 
Ni kweli Mkuu hata hivyo ' Upumbavu ' nilionao haujauzidi ule uliopo katika Familia yako na Koo zako zote mbili ya Kiumeni na Kiukeni.
Duuh! Naona unazidi kujidhihirisha umahili wako wa msimbazi
 
Mkuu... Msikilize Ndala mwezako ikiwezekana mjadili hili la Simba SC kutaka kuchezesha wachezaji 8 uwanjani badala ya 11 wanajiamini nini?

Maana wanasema Mnyama ataondoka na goli 3 bila majibu
Hakuna wa kuwaweza kwa tambo zenu. Huu mwaka wa ngapi mnapiga kelele tu lakini ndoo nyumbani Jangwani?
Goli tatu za mganga wenu siyo za uwanjani!
Mtakula 2 kwa moja. Ajibu na Chirwa kwenye scoresheet.
 
Utakuwa shabiki wa mnyama wewe!!!!

Kwanini Mkuu wakati kila Mtu humu mpaka mwana Yanga SC mwenzetu tena wa Kindakindaki kabisa Joseverest anajua kwamba GENTAMYCINE si tu Mshabiki au Mpenzi wa Yanga SC bali ni Mwanachama hai ( siyo Jimbo la Mbowe Moshi ) wa Dar es Salaam Young African na Kadi yangu mwishoni inaishia na 73 huku mbele yake ikitanguliwa na ' tarakimu ' zingine Nne. Mkuu yaani wala usijali Jumamosi Simba SC hatoki Uwanja wa Uhuru na kwa Kikosi hicho ' Kikali ' kabisa nilichokiweka hapo sioni ' Mnyama ' atapenyea wapi siku hiyo.
 
Duuh! Naona unazidi kujidhihirisha umahili wako wa msimbazi

Principle yangu ya Kimaisha na hasa niwapo humu Jamvini bado haijabadilika na haitabadilika ambapo Wewe ' ukijamba ' tu basi Mimi ' nakunya ' kabisa.
 
Principle yangu ya Kimaisha na hasa niwapo humu Jamvini bado haijabadilika na haitabadilika ambapo Wewe ' ukijamba ' tu basi Mimi ' nakunya ' kabisa.
Sawa mkuu ila hiyo principle yako inakufunua ulivyo japo nilikuwa nakugroup kwenye group lisilo lako
 
Hakuna wa kuwaweza kwa tambo zenu. Huu mwaka wa ngapi mnapiga kelele tu lakini ndoo nyumbani Jangwani?
Goli tatu za mganga wenu siyo za uwanjani!
Mtakula 2 kwa moja. Ajibu na Chirwa kwenye scoresheet.
Hawa watu wana ufahamu mdogo sana
 
Papi Kabamba Tshishimbi mkongo man anakosekana hapo....
 
GENTAMYCINE wewe si ulisema unaichukia YANGA kwenye ule uzi mwingine ??? sasa hivi umekuwa shabiki hahah

Kuna Mtu kule ali ' hack ' ID yangu ila huyu sasa ndiye GENTAMYCINE mwenyewe na nawaomba wote mniamini kwamba Mimi ni mwana Yanga SC mwenzenu hivyo nipeni ushirikino wenu mkubwa ili tuweze kuifunga Simba SC Jumamosi tuzidi kupata raha na kutamba hapa mjini. Na ushirikiano wenu mkubwa wana Yanga SC ninaouomba kutoka Kweni ni kwamba nimesikia Yanga SC imeweka Kambi yake sehemu ya Siri huko Mkoani Morogoro ila Mimi GENTAMYCINE kuna baadhi ya Zawadi kama Maji na Glucose ambazo nimezinunua nataka kuwapelekea Wachezaji wetu wa Yanga SC huko walipo Kambini je kuna Mwana Yanga mwenzetu yoyote labda anaweza akanisaidia kujua Klabu yetu ya Yanga ipo mahala gani na unafikaje huko na mazingira yake yapoje? Ewe mwana Yanga SC mwenzangu ' ushirikiano ' wako wa kunipa malekezo hayo ninayoyataka ndiyo ushindi wetu dhidi ya Simba SC Jumamosi.
 
Papi Kabamba Tshishimbi mkongo man anakosekana hapo....

Hajui kitu yule Mkuu namba yake tutamchezesha Kiungo bora kabisa kwa sasa ndani ya Yanga SC aitwae Juma Makapu. Ni mzuri na hata Kaizer Chiefs ya South Africa na Zamalek FC ya Egypt wameleta ' Ofa ' wanataka kumsajili kwa Tsh Milioni 390 za Kitanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…