Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu fcHuu ni mkia
Nina uhakika kabisa wana Yanga SC wenzangu hasa tuliopo humu Jamvini JF mtakubaliana kabisa na Mimi Mwana Yanga mwenzenu wa ' Kutukuka ' kabisa GENTAMYCINE kwamba ama hakika kwa Kikosi hiki Mnyama ( Simba SC ) hatoki siku hiyo na tukimkosa kosa sana basi kwa Kikosi hiki tu tunamfunga Goli 5 au 7.
- Ben Kakolanyi
- Ramazan Kessy
- Haji Mwinyi
- Patrick ( Pato ) Ngonyani
- Nadir Haroub ( Nahodha )
- Juma Makapu
- Geofrey Mwashiuya
- Raphael Daud
- Emanuel Martin
- Donald Ngoma
- Amis Tambwe
Kwakuwa GENTAMYCINE nipo karibu sana na Kocha wetu George Lwandamina na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa naombeni maoni yenu ya haraka haraka ili kama Kikosi hiki mmekiridhia basi nikamkabidhi haraka Kocha ili nae ' akibariki ' na kipelekwe upesi kwa ' Mganga ' wetu kule ' Matombo ' na ' Mang'ula ' Mkoani Morogoro ili wakapikwe vyema Kindumba / Kiuchawi kusudi Simba SC afungwe Jumamosi Shamba la Bibi.
Nawasilisha.
Lugha uliyotumia inadhihirisha upumbavu ulio nao, siwezi kukuchukia mtu nisiyekufaham.Inaonekana uwepo wangu humu ' unakukwaza ' na ' unaumia ' sana Mkuu. Kwani Mimi kuwepo humu ndiyo nakusababishia hayo maisha yako magumu na ya ' Kimasikini ' kuzidi kukuandama? Hapa najinunulia internet bundle mwenyewe unanichukia hivi ingekuwaje kama Wewe ndiyo ungekuwa unanipa hela ya bundle? Pumbavu Wahed Wewe pambana na hali yako na acha kupoteza muda wako na ' Purely Talented and Charismatic Felle ' GENTAMYCINE kwani hutoniweza na unaweza hata ukajikuta unakuwa taahira / chizi kwa ' Kunichukia ' Mimi huku mwenzako maisha yangu yakiwa katika ' mteremko ' halafu natiriririka na naserereka nayo kwa raha zangu.
NipoNaomba kuja aliye kwenye group la yanga wassup tujuane
Mkuu... Msikilize Ndala mwezako ikiwezekana mjadili hili la Simba SC kutaka kuchezesha wachezaji 8 uwanjani badala ya 11 wanajiamini nini?Kwenye list yako ni wawili wanaweza kuanza.
Imefika mahali wa Msimbazi anapanga Kikosi cha Jangwani.
Kipigo kipo pale pale. Yanga ataingia kama underdog dhidi ya Kikosi cha 1.3 billion.
Nyingi katika hizo 1.3 billion ziliishia kwa Makofia, Aveva na Kaburu, watoto wa mjini.
Lugha uliyotumia inadhihirisha upumbavu ulio nao, siwezi kukuchukia mtu nisiyekufaham.
Utakuwa shabiki wa mnyama wewe!!!!Nina uhakika kabisa wana Yanga SC wenzangu hasa tuliopo humu Jamvini JF mtakubaliana kabisa na Mimi Mwana Yanga mwenzenu wa ' Kutukuka ' kabisa GENTAMYCINE kwamba ama hakika kwa Kikosi hiki Mnyama ( Simba SC ) hatoki siku hiyo na tukimkosa kosa sana basi kwa Kikosi hiki tu tunamfunga Goli 5 au 7.
- Ben Kakolanyi
- Ramazan Kessy
- Haji Mwinyi
- Patrick ( Pato ) Ngonyani
- Nadir Haroub ( Nahodha )
- Juma Makapu
- Geofrey Mwashiuya
- Raphael Daud
- Emanuel Martin
- Donald Ngoma
- Amis Tambwe
Kwakuwa GENTAMYCINE nipo karibu sana na Kocha wetu George Lwandamina na Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa naombeni maoni yenu ya haraka haraka ili kama Kikosi hiki mmekiridhia basi nikamkabidhi haraka Kocha ili nae ' akibariki ' na kipelekwe upesi kwa ' Mganga ' wetu kule ' Matombo ' na ' Mang'ula ' Mkoani Morogoro ili wakapikwe vyema Kindumba / Kiuchawi kusudi Simba SC afungwe Jumamosi Shamba la Bibi.
Nawasilisha.
Duuh! Naona unazidi kujidhihirisha umahili wako wa msimbaziNi kweli Mkuu hata hivyo ' Upumbavu ' nilionao haujauzidi ule uliopo katika Familia yako na Koo zako zote mbili ya Kiumeni na Kiukeni.
Hakuna wa kuwaweza kwa tambo zenu. Huu mwaka wa ngapi mnapiga kelele tu lakini ndoo nyumbani Jangwani?Mkuu... Msikilize Ndala mwezako ikiwezekana mjadili hili la Simba SC kutaka kuchezesha wachezaji 8 uwanjani badala ya 11 wanajiamini nini?
Maana wanasema Mnyama ataondoka na goli 3 bila majibu
Utakuwa shabiki wa mnyama wewe!!!!
Duuh! Naona unazidi kujidhihirisha umahili wako wa msimbazi
Sawa mkuu ila hiyo principle yako inakufunua ulivyo japo nilikuwa nakugroup kwenye group lisilo lakoPrinciple yangu ya Kimaisha na hasa niwapo humu Jamvini bado haijabadilika na haitabadilika ambapo Wewe ' ukijamba ' tu basi Mimi ' nakunya ' kabisa.
Hawa watu wana ufahamu mdogo sanaHakuna wa kuwaweza kwa tambo zenu. Huu mwaka wa ngapi mnapiga kelele tu lakini ndoo nyumbani Jangwani?
Goli tatu za mganga wenu siyo za uwanjani!
Mtakula 2 kwa moja. Ajibu na Chirwa kwenye scoresheet.
GENTAMYCINE wewe si ulisema unaichukia YANGA kwenye ule uzi mwingine ??? sasa hivi umekuwa shabiki hahah
Papi Kabamba Tshishimbi mkongo man anakosekana hapo....