GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Unamkuta mwana Yanga kama Frank Wanjiru na Daudi Mchambuzi wanaropoka sana huko Redioni, katika Runinga ba Mitandaono kuisema vibaya Yanga SC yetu ila ukiangalia kama Mwanachama amechangia Pesa yoyote unakuta hakuna. Yanga SC hii sasa tumedhamiria kuachana na Wapuuzi kama hawa ambapo tumeanzisha Utaratibu ili Lawama zako zisikike na Uongozi na ufanyiwe Kazi Kwanza unatakiwa uwe hudaiwi Pesa kama Mwanachama na pia uwe umejiunga na Kundi Maalum la Wanayanga la Mtandaoni ambako huko na kwenyewe utalipia Ada fulani ili unayoyasema yawe yanasikika. Hii ni Yanga SC mpya na tunamaanisha" amesema Injinia Hersi Said ( Tajiri aliyeiweka Yanga SC yote Mfukoni na anaifanya atakavyo ) mapema Wiki hii alipokuwa akiongea ( akibwabwaja ) na Clouds FM katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Extra.
Hawa JF Members niliowataja hapa nimewachomekea tu ( Kiutani ) kwakuwa nawajua ni wana Yanga SC lia lia ila hayo maneno mengineyo yote niliyoyanukuu hapo Injinia Hersi Said aliyasema.
Hakika GSM wameshajimilikisha Yanga.
Hawa JF Members niliowataja hapa nimewachomekea tu ( Kiutani ) kwakuwa nawajua ni wana Yanga SC lia lia ila hayo maneno mengineyo yote niliyoyanukuu hapo Injinia Hersi Said aliyasema.
Hakika GSM wameshajimilikisha Yanga.