Wana Yanga tukubaliane japo kwa hili

Wana Yanga tukubaliane japo kwa hili

Makolo a.k.a Madunduka a.k.a Maandazi mnaumia mkiona YANGA inafanya makubwa Africa... Kama mnaumia sana chomoeni vaeni muende, kama vipi endeleeni kuikalia na mtulie YANGA iwafaidi
 
Hizi mechi mpaka hapa chance ya kushinda ndogo ila lazima tupambane , kitendo cha mashabiki wa USM Alger kuvamia hotel wachezaji wanatolewa kwenye njia

Hili kwa waarabu husikii wakipewa onyo au faini ila tufanye sisi wa rangi nyeusi sasa😅 ila tutapambana vya kutosha until the last cell we can't surrender
 
Kolomatako uwa mnajua kudandia sherehe zisizowahusu, nani kakwambia kwamba tunaitaji ushauri wenu? Ebu tuonyeshe ata medali yà kuiba ya caf cònfederation cup? Wenzako wameweka alama isiyofutika nyie mmebaki kuwa na wivu wa kike kuna siku mtavalishwa madela kisha mpelekewe moto kwampalange
Siku zote maskini akipata matako hulia mbwata.
 
Kukubali ukweli siku zote siyo udhaifu bali ni sehemu ya kujisahihisha. Ukweli ni kwamba USM Algers siyo TP Mazembe, Marumo Gallants, Rivers Wala Monastry. Wakati mwingine ni ngumu kwenda vitani huku ukiamini kuwa hutarejea, lazima ufe, ila uamini usiamini ukweli utabaki kuwa kurudi kwako ukiwa hai ni % ndogo sn.

Kwa hili Wananchi na viongozi kujiaminisha kwa [emoji817]% kuwa lazima mrudi na kombe ktk mechi ya leo ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenye. Mwisho wa siku matamanio yetu yanaposhindwa kufikiwa ndiyo utaskia flani kafa kwa pressure, mara kiongozi flani hafai atupishe au kocha huyu siyo wa kimaifa, level zake ni Mbeya City nk.

Wananchi kujiandaa kisaikolojia nayo ni njia sahihi ya kutibu ugonjwa wa akili. Kulileta Tanzania kombe la shirikisho kwa mechi ya leo ni zaidi ya maajab ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.

NB:,
Heri kufa kiume kuliko kufa kikondoo.

Tukutane saa 4:00 usiku.
kwahiyo kwa akili zako unadhani yanga ni timu ndogo sio?
 
Niliona USM Alger sio Marumo nimaushia hapo hapo na nikahitimisha kuwa hujui mpira au haufatilii mpira. Nenda kaangaika Marumo walipocheza na USM Alger kwenye hatua ya makundi matokeo yao ilikuwaje. Maana unazibeza timu zilizokutana na Yanga kisa Yanga ameshinda
 
Kuyajua matokeo si kwamba huwezi kupindua matokeo,japo chance ni ndogo.

Bila kusema positively Furgusion hasingeitwa Sir,alikuwa na uwezo si kuongea na mtu mmoja mmoja,alikuwa na uwezo wakumjenga mtu ambaye ana uwezo wa kawaida na akaperform kwenye mechi kubwa. Bila kuwa kusema positively leo Leicester City hasingekuwa bingwa,bila kuongea positively leo hii Ugiriki hisinge andika history ya kuchukua ubingwa,kwenye ardhi ya Ureno walio andaa kombe, bila Gerald kuongea na wenzake Liverpool wasinge chomoa goli tatu ndani ya dk 7 kwenye fainali ya UEFA dhidi ya AC milan ,goli la kwanza akifunga yy mwenyewe Gerald kwa mpira wa kona.

Kwenye mechi zenye maamuzi always lazima uongee tena kwa kumaanisha kwamba tunaenda kuchukua trophy na ndivyo leo hii tuna wakina Claudio Raniel, Steve Gerald, Alex Ferguson, Paulo Maldini,Sergio Ramos hawa pamoja walikuwa bora kwenye kazi zao ila wana uwezo mkubwa wa kuongea nawachezaji,hawa walikuwa wanaongea tena kwa amri wakati timu ipo kwenye hali mbaya kuboost hali za wachezaji na ndio maana leo malegend.

Mechi ya leo ni ya maamuzi so lazima uamue na kwa Yanga hamna maamuzi mengine zaidi ya kushinda zaidi ya mbili au tofauti ya goli moja kuanzia magoli matatu,tukikosa basi ila lazima kila mchezaji akilini mwake aweke Yanga inataka kombe.
Nime enjoy sana kusoma andiko lako brother.

Hakika wewe ni mtu mpira[emoji122]..!
 
Back
Top Bottom