Wana Yanga tukubaliane japo kwa hili

Makolo a.k.a Madunduka a.k.a Maandazi mnaumia mkiona YANGA inafanya makubwa Africa... Kama mnaumia sana chomoeni vaeni muende, kama vipi endeleeni kuikalia na mtulie YANGA iwafaidi
 
Utopolo hana uwezo wa kuchukua hili kombe Wenda waliibe
 
Hizi mechi mpaka hapa chance ya kushinda ndogo ila lazima tupambane , kitendo cha mashabiki wa USM Alger kuvamia hotel wachezaji wanatolewa kwenye njia

Hili kwa waarabu husikii wakipewa onyo au faini ila tufanye sisi wa rangi nyeusi sasašŸ˜… ila tutapambana vya kutosha until the last cell we can't surrender
 
Siku zote maskini akipata matako hulia mbwata.
 
kwahiyo kwa akili zako unadhani yanga ni timu ndogo sio?
 
Niliona USM Alger sio Marumo nimaushia hapo hapo na nikahitimisha kuwa hujui mpira au haufatilii mpira. Nenda kaangaika Marumo walipocheza na USM Alger kwenye hatua ya makundi matokeo yao ilikuwaje. Maana unazibeza timu zilizokutana na Yanga kisa Yanga ameshinda
 
Nime enjoy sana kusoma andiko lako brother.

Hakika wewe ni mtu mpira[emoji122]..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…