Wana-Yanga tusikubali matumizi mabaya ya fedha ya klabu. Kama Ally Kamwe yupo, Mzee Manara anarudi kufanya nini? Mbona Simba Ahmed Ally anatosha?

Leo katika mkutano na wanahabari, yaani ikawa mvurugano tu, hamna consistency. Vitu vichache wamejaa wasemaji wawili.

Anyway, tajiri ameamua lazima Manara awemo, sababu anaijua yeye. Kama ulivyosema hapo juu, imebidi wagawane vitu vya kuzungumza:

 
Wewe hadi ada ya uanachama hujalipa. Kaa kwa kutulia.
 
Kama gsm anaweza kuwalipa wote wewe unapungukiwa nini? Unachangia kiasi Gani mpaka useme matumizi mabovu ya fedha za klabu?
acha watu wapate kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…