Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Magenge ya wahuni tu hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo katika mkutano na wanahabari, yaani ikawa mvurugano tu, hamna consistency. Vitu vichache wamejaa wasemaji wawili.
Sura ya manara kama ya mzimu, ancestorAnyway, tajiri ameamua lazima Manara awemo, sababu anaijua yeye. Kama ulivyosema hapo juu, imebidi wagawane vitu vya kuzungumza:
View attachment 3056166
Na kama analipwa na GSM, mashabiki wanatakiwa kuwa wapole. Hakuna sababu ya kumpangia mtu matumizi ya pesa zake.Manara analipwa na GSM sio Yanga
Wewe hadi ada ya uanachama hujalipa. Kaa kwa kutulia.Naona kazi ya usemaji babu yetu Mzee Manara na yeye kaiingilia, yaani kazi iliyofanywa kwa ufanisi na weledi mkubwa, leo anaongezwa mtu mwingine.
Leo katika mkutano na wanahabari, yaani ikawa mvurugano tu, hamna consistency. Vitu vichache wamejaa wasemaji wawili. Vionjo vya Ali Kamwe vina miksa ya utaalamu wa ndani kabisa, lakini vionjo vya Manara ni vya wale wanaouza bidhaa kwa minada ya benki au wale wauza mitumba wa mitaani wenye vispika.
Kamwe aliuondoa usemaji kutoka hali ya zamani ya usema hovyo, kuwa package kamili ambayo ina proffessionalism.
Mbona Ahmed Ally ni jeshi tosha kabisa kwa upande wa Simba? Huyo Manara wa nini?
Mimi nimemuangalia leo, sura ina makunyanzi, ishara tosha kabisa kwamba huyu ni mzee wa miaka kama 55, anakaribia kustaafu, watu wengi wa Tanzania ni vijana, unawaletea lizee kama hilo badala ya kijana mwenzao?
Manara alikuwa anaenda kucheza muziki enzi za Moro Jazz, Cuban Marimba, na Marijani Rajabu, ndio ataelewama na hawa vijana?
#bwawaLimeingiaRuba
Yanga wote washirikina. Muulize kamwe kwa nini alizimia?Namwonea Ally kamwe Huruma huyoo mzungu atamloga. Manara ni mshirikina sana.