political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
kunywa maji mengi mkuu , simba alimpiga plateu utd kwao mechi haikuonyeshwa siyo lazima kwa hatua hii hadi ifike makundi ndipo wadhamini wa CAF wanaingia sasa na inakuwa lazima kuonyeshwa na muda wanapanga waompira wa gizani ulishapitwa na wakati weka live ili kila mtu aone
aya yote tumeyataka wenyewe tungempiga 3 kavu apa home ata wangesema mechi ichezwe kwenye majahazi tungekubaliKwa nini mlijipendekeza kuwapa jezi? Yaani hapa Dar tuliwawekea friendly environment ndio maana wakacheza kwa amani bila pressure. Sasa ni zamu yetu kujifunza the hard way. Tulikuwa na maana gani hasa kujipendekeza kwa adui?
yanga ni team kubwa kwa al hilal unataka iwafanyie ubaya? yanga hii kw afrika labda mamelodi, wydad na ahly ndo watabahatisha draw wengine wote wachumba tuKwa nini mlijipendekeza kuwapa jezi? Yaani hapa Dar tuliwawekea friendly environment ndio maana wakacheza kwa amani bila pressure. Sasa ni zamu yetu kujifunza the hard way. Tulikuwa na maana gani hasa kujipendekeza kwa adui?
Uuuuwi kunajitu litakufa huko kwa wachimba mafuta! namwonea huruma mtani!Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia Mchezo wao wa klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala Kutangazwa kwenye Redio.
Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la 200 million ili kupata haki ya kuonyesha matangazo hayo lakini wamezuiliwa.
Japo vyombo mbalimbali vya Habari vinaendelea kuonyesha jitihada ya kuweka dau kubwa lakini matajiri hao wa Sudan hawataki Mchezo huo uonyeshwe wala Kutangazwa kwenye Redio.
Kama kutakuwa na mabadiliko taarifa zaidi zitatolewa .
[emoji361]Fox MediaView attachment 2383314
Yaan Yanga amfunge mameload?.... niite mbwa nimekaaa paleeyanga ni team kubwa kwa al hilal unataka iwafanyie ubaya? yanga hii kw afrika labda mamelodi, wydad na ahly ndo watabahatisha draw wengine wote wachumba tu
CAF ni chama Cha hovyo sana mpaka Leo hii watu hawataki kuonyesha mechi kwenye tvHivi CAF hawezi kuwalazimisha kuonesha?.
Inaogopesha sana...رفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL
nilishasema mapema kwamba Yanga wajiandae kisaikolojia na kombe la Shirikisho.. huku champon sio kwaoYanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.