Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio.

Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la milioni 200 ili kupata haki ya kuonyesha matangazo hayo, lakini wamezuiliwa.

Japo vyombo mbalimbali vya habari vinaendelea kuonyesha jitihada ya kuweka dau kubwa lakini matajiri hao wa Sudan hawataki mchezo huo uonyeshwe wala kutangazwa kwenye redio.

Kama kutakuwa na mabadiliko taarifa zaidi zitatolewa.

[emoji361]Fox Media
1665475108679.jpg
 
رفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL
 
Kwa nini mlijipendekeza kuwapa jezi? Yaani hapa Dar tuliwawekea friendly environment ndio maana wakacheza kwa amani bila pressure. Sasa ni zamu yetu kujifunza the hard way. Tulikuwa na maana gani hasa kujipendekeza kwa adui?
 
mnaonaje mkijilinganisha na simba waliocheza na plateu utd nigeria tukawapiga kimoja cha triple c bila mechi kuonyeshwa kwenye TV????
kuanzia makundi ndiyo lazima mechi kuonyeshwa kwa hiyo tulieni hivyohivyo au kama vipi rusheni live kwa simu kam alivyofanya magori kule nigeria
 
Kwa nini mlijipendekeza kuwapa jezi? Yaani hapa Dar tuliwawekea friendly environment ndio maana wakacheza kwa amani bila pressure. Sasa ni zamu yetu kujifunza the hard way. Tulikuwa na maana gani hasa kujipendekeza kwa adui?
aya yote tumeyataka wenyewe tungempiga 3 kavu apa home ata wangesema mechi ichezwe kwenye majahazi tungekubali
 
Kwa nini mlijipendekeza kuwapa jezi? Yaani hapa Dar tuliwawekea friendly environment ndio maana wakacheza kwa amani bila pressure. Sasa ni zamu yetu kujifunza the hard way. Tulikuwa na maana gani hasa kujipendekeza kwa adui?
yanga ni team kubwa kwa al hilal unataka iwafanyie ubaya? yanga hii kw afrika labda mamelodi, wydad na ahly ndo watabahatisha draw wengine wote wachumba tu
 
Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia Mchezo wao wa klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala Kutangazwa kwenye Redio.

Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la 200 million ili kupata haki ya kuonyesha matangazo hayo lakini wamezuiliwa.

Japo vyombo mbalimbali vya Habari vinaendelea kuonyesha jitihada ya kuweka dau kubwa lakini matajiri hao wa Sudan hawataki Mchezo huo uonyeshwe wala Kutangazwa kwenye Redio.

Kama kutakuwa na mabadiliko taarifa zaidi zitatolewa .

[emoji361]Fox MediaView attachment 2383314
Uuuuwi kunajitu litakufa huko kwa wachimba mafuta! namwonea huruma mtani!
 
Hivi kwanini hawa Wasudani wanaachiwa kufanya watakalo kwenye michuano hii ya CAF..!

Kipindi kile Al Ahly Shendi walifanya vurugu sana dhidi ya Simba SC

Hata kama Yanga wanawakusudia kuwanyonga, ndo wawanyonge kwenye giza kweli...?!
 
Hii CAF nayo ni ya hovyo kabisa. Kwanini isisimamie suala la matangazo au kulazimisha timu/nchi kuonyesha jamii ili dunia nzima ione haki inavyotendeka? sasa wanaziachia clab zijiamulie kuna siku wachezaji watauawa uwanjani na hakuna ushahidi
 
Yanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.
 
رفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL
Inaogopesha sana...
 
Yanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.
nilishasema mapema kwamba Yanga wajiandae kisaikolojia na kombe la Shirikisho.. huku champon sio kwao
 
Back
Top Bottom