Hivi CAF hawezi kuwalazimisha kuonesha?.
Si mumeshakubali kumanuliwa ndiyo maana mumekuwa wapole.Wanathimba acheni kuhemkwa na pilipili ya shamba wenye game tumetuliaa hatuna shida
CAF ni chama Cha hovyo sana mpaka Leo hii watu hawataki kuonyesha mechi kwenye tv
Sasa hilo linawazuia nini kufuzu ama kushindwa?Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia Mchezo wao wa klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala Kutangazwa kwenye Redio.
Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la 200 million ili kupata haki ya kuonyesha matangazo hayo lakini wamezuiliwa.
Japo vyombo mbalimbali vya Habari vinaendelea kuonyesha jitihada ya kuweka dau kubwa lakini matajiri hao wa Sudan hawataki Mchezo huo uonyeshwe wala kutangazwa kwenye Redio.
Kama kutakuwa na mabadiliko taarifa zaidi zitatolewa .
[emoji361]Fox MediaView attachment 2383314
Sasa kwa Yanga hii ya akina Morrison, ndiyo ya kufanyiwa vurugu kweli! Waoneshe huo mchezo, wasioneshe! Bado kwa upande wao hautakuwa mchezo mwepesi hata kidogo.Hivi kwanini hawa Wasudani wanaachiwa kufanya watakalo kwenye michuano hii ya CAF..!
Kipindi kile Al Ahly Shendi walifanya vurugu sana dhidi ya Simba SC
Hata kama Yanga wanawakusudia kuwanyonga, ndo wawanyonge kwenye giza kweli...?!
Duh, watatunyima uhondo hawa Wajinga.Caf hawahusiki na play offs... caf wana maamuzi na mechi za champions league kuanzia group stage mpaka fainali..
Huko mbele timu hazina maamuzi ya kukataa mechi kuoneshwa wala nini.. maana tv rights zinakuwa mali ya Caf wenyewe sio mali ya timu
[emoji1787][emoji1787]Hivi kwa mfano yaani mfano tukifungwa kwa sababu hawataonyesha live si tunaweza kurudi huku na kusema tumefunga? [emoji1787]
Hata kama Yanga wanawakusudia kuwanyonga, ndo wawanyonge kwenye giza kweli...?!
Simba Sc walipowaletea ngumu akina Orlando, Kizer kiasi cha wao kwenda kulia kwenye media zao za SA, mlikaa na kuwatetea kwa kila aina. Wengine mkaenda mbali zaidi kujifanya wema, eti mnawapa maangalizo na mbinu chafu za Simba Sc[emoji23].Kwa nini mlijipendekeza kuwapa jezi? Yaani hapa Dar tuliwawekea friendly environment ndio maana wakacheza kwa amani bila pressure. Sasa ni zamu yetu kujifunza the hard way. Tulikuwa na maana gani hasa kujipendekeza kwa adui?
Nimecheka kama duanziNi mwanaume gani anayeweza kufanya mapenzi na mke wake akiwa anarekodiwa? Al Hilal hawataki kurekodiwa wakiwa faragha na wake zao Yanga Sc.
Uwezo wa kumpiga 3 Hilal hamna, ule mtego wao wa kufungwa hovyo kwenye game zao za kirafiki usiwafanye mkawaona ni vibonde mnaolingana nao.aya yote tumeyataka wenyewe tungempiga 3 kavu apa home ata wangesema mechi ichezwe kwenye majahazi tungekubali
Duuuh wangeacha tuu tuone wanavyofumuliwa magoli mengi. Any way wameshapata kisingizio tayari cha kusema kuwa wameonewa n.kNi mwanaume gani anayeweza kufanya mapenzi na mke wake akiwa anarekodiwa? Al Hilal hawataki kurekodiwa wakiwa faragha na wake zao Yanga Sc.
Scars Ghazwat Kalpana njaakalihatari Tate Mkuu mpiga vichwa , je nyinyi hamkubaliani na huu utaratibu mzuri kabisa wa Al Hilal?
Ni vile sisi kwa umasikini wa team zetu tumeuza haki za matangazo kwa Azam lakini hata sisi tuliwa na uwezo wa kukataa mechi zetu kuonyeshwa, namaanisha CAF hawaingilii haki za matangazo kwa hatua hizi za awala mpaka ikifika hatua za makundi.Hii CAF nayo ni ya hovyo kabisa. Kwanini isisimamie suala la matangazo au kulazimisha timu/nchi kuonyesha jamii ili dunia nzima ione haki inavyotendeka? sasa wanaziachia clab zijiamulie kuna siku wachezaji watauawa uwanjani na hakuna ushahidi
Inategemeana itakutanishwa na team gani kabla haijawania kuingia makundi ya CAFCC( shirikisho), ikikutanishwa na kisiki cha mpingo kama zile team za nigeria, basi uwezekano unakuwa mdogo sana.Yanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.