Hivi CAF hawezi kuwalazimisha kuonesha?.
Caf hawahusiki na play offs... caf wana maamuzi na mechi za champions league kuanzia group stage mpaka fainali..
Huko mbele timu hazina maamuzi ya kukataa mechi kuoneshwa wala nini.. maana tv rights zinakuwa mali ya Caf wenyewe sio mali ya timu