Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Comments kama hizi ndio makolo mnapenda kuambiwa mkiona haziji mnalazimisha kuzisema kwa wengine ili mfurahi na kufarijiana Yanga Africa ipigwe mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyi mwamba alivyosema Yanga ni team kubwa kuliko Al Hilal kakosea? Si nyinyi ndo mlikuwa mkijinadi hivyo?
Unazungumzia ukubwa upi? Wapi Yanga ilijinadi ni kubwa kuliko Al Hilal basi kama ni ivyo na sisi turudi tuwaambie Simba ni kubwa kuliko Zamalek, TP, Berkane kama ambavyo baadhi ya mashabiki wenu walivyokua wanajinadi?

Kauli ya mtu mmoja ambaye hajulikani kama ni shabiki wa Yanga kweli au lah maana mpo wengi humu ni makolo mnajivika UYanga na kuanza kutusemea ndio inatoa justification ya washabiki wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comments kama hizi ndio makolo mnapenda kuambiwa mkiona haziji mnalazimisha kuzisema kwa wengine ili mfurahi na kufarijiana Yanga Africa ipigwe mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba hamzileti kwasababu hamtaki, ni kwasababu mmefundishwa kunyamaza baada ya hiyo game.

Sisi tunafanya kuwakumbusha tu ili muendelee[emoji23]
 
ALI KAMWE hakusema kuwa Yanga Sc imewekeza kuliko Al Hilal, au na yeye ni kolo mwenzetu?
 
Hii CAF nayo ni ya hovyo kabisa. Kwanini isisimamie suala la matangazo au kulazimisha timu/nchi kuonyesha jamii ili dunia nzima ione haki inavyotendeka? sasa wanaziachia clab zijiamulie kuna siku wachezaji watauawa uwanjani na hakuna ushahidi
Kuna wawakilishi wa CAF kila mechi, hakuna kitakacho fanyika bila CAF kujua
 
Mbona kama ipo rasmi kwa sasa,

Hata chaneli zao hazitoonyesha?
 
Ni sawa, tukubaliane na hali sasa, tuonyeshe ukubwa wetu uwanjani. Timu iko vizuri na ina uwezo wa kushinda
yanga ni team kubwa kwa al hilal unataka iwafanyie ubaya? yanga hii kw afrika labda mamelodi, wydad na ahly ndo watabahatisha draw wengine wote wachumba tu
 
Yaani uto atakaangwa gizani mpaka aungue haha
 
Imagine mchezaji kama Bernard Morrison, eti unamtishia nyau! Aisee anakumaliza. Yaani hao Wasudan waombee Nabi aanzishe tu kikosi dhaifu!

Ila akipanga kikosi chake kwa usahihi, kiukweli uwezekano wa kufuzu ni mkubwa sana.
Dah huwa naona unajipa moyo na kikosi chako ila hukumbuki kuwa alhilal nao pia wanakikosi kipana tu na hii ndio inawaumiza sana uto baada ya matokeo ya dakik 90 huwa manaumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…