Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio...
Hizo ngonjera zako zihifadhi tu,kama mlishindwa kuonyesha huo ukubwa wenu hapa basi imeshakula kwenu. Mnaenda kudhalilishwa na kuliabisha Taifa.Unahamisha magoli siyo! Wewe sema tu hao waarabu wenu koko wameingiwa na mchecheto.
Na kwa bahati nzuri wanatambua fika Yanga imesheheni wachezaji wenye uzoefu na mashindano ya kimataifa. Hivyo hawawezi kutoka kirahisi tu mchezoni kupitia hizo mind game zao.
Yaani timu kubwa mnaweka matumaini yenu kwa kichaa Morrison? Ama kweli mumevurugwa nyie si bure.Imagine mchezaji kama Bernard Morrison, eti unamtishia nyau! Aisee anakumaliza. Yaani hao Wasudan waombee Nabi aanzishe tu kikosi dhaifu!
Ila akipanga kikosi chake kwa usahihi, kiukweli uwezekano wa kufuzu ni mkubwa sana.
Mnajipa presha bure, Nabi ameshaifundisha hiyo timu, anaijua vizuri.
Anaehangaika na broadcast ni Azam. Kwa ajili ya biashara zake. Mechi kuonyeshwa au kutokuonyeshwa hakuna athari yoyote uwanjaniSasa wale mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanasema Al Hilal ameridhika na matokeo ya kwa Mkapa na kuwa kule kwao wata defense ili wapate sare ya 0-0 wao wavuke naona wameanza kugundua hawakuwa sahihi
Mimi naamini hii mechi itaoneshwa live, kinachofanywa saizi hapa ni figisu za kuwatoa mchezoni ili focus yao katika kipindi hiki ipotee kwenye kuhangaikia kwenye maswala ya broadcasting
Na sio hivyo tu, wataweza kutengeneza propaganda nyingine ambazo zitaingia kwenye rotation katikati ya hili sakata ambalo wana dili nalo saizi.
Hayo yote yatafanyika wakati Yanga bado yupo hapa hapa Tanzania, unaweza ku imagine watakutana na figisu za kiasi gani wakifika huko.
Yanga na mashabiki wake wanapaswa waelewe kuwa timu pinzani haiwezi ikafanya hayo yote kwa lengo la kutafuta sare tena ikiwa nyumbani.
Mpira una matokeo matatu, ni game tu ndivyo ilivyokuwa. Yanga bado ana nafasi ya kushinda.Sasa mbo a alishindwa kuimudu kwa mkapa?.
Hawa waarabu siyo kama ni wagumu kiviile, ndiyo maana wanaanza mikwala mapema,ila mlikosea sana kuwaacha salama hapa, mngewapiga kama migoli mitatu bila wangelegea hata hizo amsha amsha zao zisingekuwa na nguvu. Hawa wanajua wakiwadindia mkatoka sare tasa tu wamepita.
Mpira una matokeo matatu, ni game tu ndivyo ilivyokuwa. Yanga bado ana nafasi ya kushinda.
😂😂😂Auntرفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL
Hata ligi yao ya ndani haionyeshwi. Nadhani hawajaelewana kwenye maslahi na AzamSasa mkuu hii dunia ya sasa nani asiyezijua mind games mpaka saivi? Hawa wana mambo yao tu hawataki yawe addressed kwenye tv.
Au niambie wewe unahisi ni kwa sababu gani wamegomea hii match kuonyeshwa kwenye tv
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu awasaidie lakini Al hilal nao si Haba wanajitahidiYanga itafanya vizuri confederation cup.
Sioni timu ya cecafa itakayofika semi finals za Championships mwaka huu.
Ila kombe la washindi, Yanga itAFANYA VIZURI, NAAMINI HILO.
Hakuna cha atmoshere wala nini, ukiwa na uwezo mkubwa unashinda. Kama atmoahere inawabeba, mbona hawajawahi kuwa mabingwa wa Africa??Ila Al Hilal ndio ana nafasi kubwa ya kushinda maana atmosphere ya uwanja wao usipime.
Lini wametoka nje kucheza hao Yanga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!muulizeSasa unaposema Yanga ni nzuri away kuliko ikiwa Lupaso unakuwa umetumia vigezo vipi? Hiyo ni ishara ya kupagawa mkuu.[emoji23]
Kapotea wakishinda jmosi utamuona[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hivi yupo wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani anaropoka balaa nadhani ndo yule mshabiki alokua anaongea km anataka kupiganaKapotea wakishinda jmosi utamuona
Haya mambo yapo sana africa, wale wa nigeria waliwakazia simbaCAF ni chama Cha hovyo sana mpaka Leo hii watu hawataki kuonyesha mechi kwenye tv
Wamekanusha muda mfupi uliopita. Wamesema itakuwa kama walivyotangaza mwanzo!رفتن نوعش نکسوس تلسننتط نکوواففبرشگ موودسسونانطسگ ننکاهستوگطپت[emoji378][emoji378][emoji378][emoji378] MOCHWARI کتثحگکوسوث[emoji196][emoji196][emoji196]UTOPOLOکوسکککطنKIBWANA SHOMARI ننیمنگAL HILAL