Wana Yanga wenzangu kinachoenda kufanyika Sudan na Al Hilal siyo mpira ni vita!

Ina maana watapapaswa makalio kizani???[emoji26][emoji26][emoji26]sjapenda kabisa
 

Mkuu samahani ..lini mlicheza kiwanja cha ugenini kimataifa??samahani lakini!
 
Mkuu samahani ..lini mlicheza kiwanja cha ugenini kimataifa??samahani lakini!
Hilo neno " kiwanja cha ugenini kimataifa" umeliongeza wewe.
Mimi nimesema "viwanja vya ugenini"!!!!!

Another question please....!!
 
Fact
 
job ,mwamnyeto , Kibwana , feisal na takataka kibao
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF sihami Ng’o
 
Samahani, lakini hizi zinaitwa sifa za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…