Uongozi wa Klabu ya Al Hilal umezuia mchezo wao wa Klabu Bingwa dhidi ya Yanga kuonyesha kwenye Tv wala kutangazwa kwenye Redio.
Taarifa zinasema kuwa Azam Media wametoa dau la milioni 200 ili kupata haki ya kuonyesha matangazo hayo, lakini wamezuiliwa.
Japo vyombo mbalimbali vya habari vinaendelea kuonyesha jitihada ya kuweka dau kubwa lakini matajiri hao wa Sudan hawataki mchezo huo uonyeshwe wala kutangazwa kwenye redio.
Kama kutakuwa na mabadiliko taarifa zaidi zitatolewa.
[emoji361]Fox Media
View attachment 2383314