MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
POPOMAPopoma
Tunajifunza nn kwa Simba mbna hoja yako haina mashiko hv ukiachana na kujaza uwanja na ni walikua vzr ck yaoMimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.
Happy Simba Day leo kwa Mkapa.
GENTAMYCINE usijifanye hatukujui wewe MAKOLO FCHappy Simba Day leo kwa Mkapa
Madunduka hawana ubunifu, kiukweli wameonyesha udunduka wao.Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.
Happy Simba Day leo kwa Mkapa.
Mwanayanga awe wewe, ebu jaribu kuwa unaficha ujinga wako, jikite kwenye tamasha lenu achana na yanga aipo hapo kuitajataja atuitaji promo za lazima kutoka kwakoMimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.
Happy Simba Day leo kwa Mkapa.