Wanaamini Mwamposa anaweza kuniombea nikapata kusikia tena

Leo jioni jumamosi, nilikua nafua. Kuna kijana mpangaji mwenzangu just next door mke wake kajifungua mtoto wa kwanza kirahisi sana. Kampeleka kwao kidogo...
Sasa ile nipo nafua mara Jamaa akarudi toka kazini kwake. Ni mu-islam ila alikua amerudi afue nguo mbili tu za kuendea kwa mwamposa kesho jumapili. Amenishawishi sana. Jamaa ni mtu wa beer, bangi na sigara ni mu-islamu ila karudi afue nguo za kuendea kwa mwamposa kesho mpaka nikaanza kuwazingatia watu wanaoniambia niende kwa mwamposa.
Aliyekushauri amekupa ushauri mzuri sana. Mwamposa ni mtumishi wa Mungu alive na karama.
 
Mimi sina kazi maalum ila pesa napata za kujidai nazo kunywa bia na kuhang around smwer na mm pia Ni muudhuriaji sna wa mawaposa nampenda mwaposa sna

Nikonae had mwisho ila pia mm Ni muhumini mzur sna wa kkkt korogwe kimara mchungaji mastai na mwanae wananikosha sna wale watu nabarikiwa sna na mahubiri zao na mwaposa pia nmkubali sna

Juz nilikuwa pale fire nakutana na Teja nae alinieleza mkasa wake na jins mwaposa alivyomnausua katk uteja na sasa Ana familia na kila ibada ya ya pili hawezi kukosa yule jamaa na Ni muisalmu mzuri San na mpiga debe Happ fire dsm
 
Leo jioni jumamosi, nilikua nafua. Kuna kijana mpangaji mwenzangu just next door mke wake kajifungua mtoto wa kwanza kirahisi sana. Kampeleka kwao kidogo...
Sasa ile nipo nafua mara Jamaa akarudi toka kazini kwake. Ni mu-islam ila alikua amerudi afue nguo mbili tu za kuendea kwa mwamposa kesho jumapili. Amenishawishi sana. Jamaa ni mtu wa beer, bangi na sigara ni mu-islamu ila karudi afue nguo za kuendea kwa mwamposa kesho mpaka nikaanza kuwazingatia watu wanaoniambia niende kwa mwamposa.
Mimi nina ulemavu wa kusikia ila sio wa kuongea pia. Wao wanaamini mwamposa anaweza kuniombea nikapata kusikia tena. Jamaa Kanionyesha na wallet yake jinsi ilivyo na noti nyekundu nyingi japo hazifiki laki na its unlike him. Anasema hayo ndio mabadiliko kwani hata vilevi ameanza kujidhibiti na ataacha kabisa. Alikua ananiambia huku anavuta bangi nikamhoji akasema uislamu haachi ila kwa mwamposa ana imani nae sana.

NOW my fellow Great thinkers:-
1. What is your opinions/maoni yako kwenye hili..?
2. Kindly advise
3. According to @Mshanajr its aint good. I can second him based on a certain American movie series ALPHA humo kuna mtu ana mambo kama hayo ya kina mwamposa ilikua akiwa bless watu kuna doctor anawatibu dah basi if i come to think of it nasita sita kwenda kwa mwamposa.

4. Kule Mwanza sometimes kulikua na mchungaji DOXA DOXAZO... His story resembles Mwamposas. Walisemaga aliombea watu wazae wakizaa kweli baadae mtoto anakua anageuka chatu ukimchungulia and thats how he had no other option but to vanish... Again there was "MFALME" ZUMARIDI and she too aint pleasant so its only fair to wonder about Mwamposa guy.

I so much wishes to restore my hearing. Would do a whole lots to achieve that... But at a reasonably "price", not just to worsen the situation. Iam writing this because of my mother and sister who wants me to go there. I like to be enlightened first, pease!
I stays at Mbezi beach, Dar
Hakuna mchungaji anaroho mbaya kama huyo tokea Tanzania ipate uhuru.. yani bado siamini kama kweli kunawatu wako brain washed kiasi hiki..

Kanisa la kweli ni lile linalo wajali yatima na wajane..

Kingine now days watu wanaendeshwa mno na hawa manabii feki kwa sababu ya uvivu wa kusoma biblia

Yesu hakutegemea sadaka ili aishi.. angeamua kuishi kama hawa manabii wa sikuhizi angekufa tajiri sana.

Yani imefika kipindi wenye mahitaji hawaendi makanisani tena wanakuja bar kwa sisi walevi.. kupata msaada makanisa yanapeleka wapi sadaka??
 
MWAMPOSA msemeni mchoke siku zinavyo zidi kwenda ndivyo watu kutoka dini tofaut, madhehebu tofaut na mataifa wanaenda kanisani kwake na ktk mikutano yake kupata huduma ya kiroho na uponyaji... Endeleeni kumdhihaki maana hakuna jipya mfanyalo... Ushuhuda wangu:- mama yangu 5yrs ago alitakiwa afanyiwe operation ya 3 baada ya operation 2 kutomsaidia chochote... Huku na huku siku 1 akaenda kusali kwa Mwamposa akaombewa akaambiwa rudi nyumban umepona huna haja ya operation kwasabab hio operation zote ni mpango wa shetani kukutoa roho ila huumwi chochote... Alirudi hospital madaktar wakamwambia ajiandae kwa Operation maana asipoifanya anaweza kufa siku yoyote hali imekua mbaya... Mama na Familia kwa pamoja tulikataa asifanyiwe operation... Leo ni mwaka wa 5 mama hajafanyiwa operation na ni mzima wa afya njema na amesahau hata kama aliwahi kuumwa hoi... Guys haya mambo ya imani kama huyaamini kaa kimya, Mimi nilikua sitak kumsikia huyo Mwamposa na wahubiri wengine but from there nilimwambia Mungu anisamehe kwa kukejeri watumish wake... All in all ukitaka kwenda kwa Mwamposa nenda kama hutak usiende sio lazima baki na shida zako utazitatua utavyojua wewe... YESU alisema "IMANI YAKO IMEKUPONYA" haitajiki uwe na imani kubwa kama ya fulani inahitajika imani ndogo sana kama punje ya ulezi... Just a matter of time kila goti litapigwa... AMEN 🙏
 
Leo jioni jumamosi, nilikua nafua. Kuna kijana mpangaji mwenzangu just next door mke wake kajifungua mtoto wa kwanza kirahisi sana. Kampeleka kwao kidogo...
Sasa ile nipo nafua mara Jamaa akarudi toka kazini kwake. Ni mu-islam ila alikua amerudi afue nguo mbili tu za kuendea kwa mwamposa kesho jumapili. Amenishawishi sana. Jamaa ni mtu wa beer, bangi na sigara ni mu-islamu ila karudi afue nguo za kuendea kwa mwamposa kesho mpaka nikaanza kuwazingatia watu wanaoniambia niende kwa mwamposa.
Mimi nina ulemavu wa kusikia ila sio wa kuongea pia. Wao wanaamini mwamposa anaweza kuniombea nikapata kusikia tena. Jamaa Kanionyesha na wallet yake jinsi ilivyo na noti nyekundu nyingi japo hazifiki laki na its unlike him. Anasema hayo ndio mabadiliko kwani hata vilevi ameanza kujidhibiti na ataacha kabisa. Alikua ananiambia huku anavuta bangi nikamhoji akasema uislamu haachi ila kwa mwamposa ana imani nae sana.

NOW my fellow Great thinkers:-
1. What is your opinions/maoni yako kwenye hili..?
2. Kindly advise
3. According to @Mshanajr its aint good. I can second him based on a certain American movie series ALPHA humo kuna mtu ana mambo kama hayo ya kina mwamposa ilikua akiwa bless watu kuna doctor anawatibu dah basi if i come to think of it nasita sita kwenda kwa mwamposa.

4. Kule Mwanza sometimes kulikua na mchungaji DOXA DOXAZO... His story resembles Mwamposas. Walisemaga aliombea watu wazae wakizaa kweli baadae mtoto anakua anageuka chatu ukimchungulia and thats how he had no other option but to vanish... Again there was "MFALME" ZUMARIDI and she too aint pleasant so its only fair to wonder about Mwamposa guy.

I so much wishes to restore my hearing. Would do a whole lots to achieve that... But at a reasonably "price", not just to worsen the situation. Iam writing this because of my mother and sister who wants me to go there. I like to be enlightened first, pease!
I stays at Mbezi beach, Dar
Hakikisha una beba SADAKA YA KUJIMALIZA ili urudi geto kwa rondo a.k.a uu ge mkono azimio la arusha
 
MWAMPOSA msemeni mchoke siku zinavyo zidi kwenda ndivyo watu kutoka dini tofaut, madhehebu tofaut na mataifa wanaenda kanisani kwake na ktk mikutano yake kupata huduma ya kiroho na uponyaji... Endeleeni kumdhihaki maana hakuna jipya mfanyalo... Ushuhuda wangu:- mama yangu 5yrs ago alitakiwa afanyiwe operation ya 3 baada ya operation 2 kutomsaidia chochote... Huku na huku siku 1 akaenda kusali kwa Mwamposa akaombewa akaambiwa rudi nyumban umepona huna haja ya operation kwasabab hio operation zote ni mpango wa shetani kukutoa roho ila huumwi chochote... Alirudi hospital madaktar wakamwambia ajiandae kwa Operation maana asipoifanya anaweza kufa siku yoyote hali imekua mbaya... Mama na Familia kwa pamoja tulikataa asifanyiwe operation... Leo ni mwaka wa 5 mama hajafanyiwa operation na ni mzima wa afya njema na amesahau hata kama aliwahi kuumwa hoi... Guys haya mambo ya imani kama huyaamini kaa kimya, Mimi nilikua sitak kumsikia huyo Mwamposa na wahubiri wengine but from there nilimwambia Mungu anisamehe kwa kukejeri watumish wake... All in all ukitaka kwenda kwa Mwamposa nenda kama hutak usiende sio lazima baki na shida zako utazitatua utavyojua wewe... YESU alisema "IMANI YAKO IMEKUPONYA" haitajiki uwe na imani kubwa kama ya fulani inahitajika imani ndogo sana kama punje ya ulezi... Just a matter of time kila goti litapigwa... AMEN 🙏
Ninafikiria hapa lakini mkuu huwezi kulaumu watu wanaokuwa na mashaka na hawa mamitume type... Kuna wa ukweli halafu tena kuna bad guys too... so iam just trying to find out . You will note if you read btn lines kwamba sijam-judge your lovely Mwamposa i was just minding my business until people started coming to me saying Mwamposa this, Mwamposa that!
 
Mm Sina kazi mahalum ila pesa napata za kujidai nazo kunywa bia na kuhang around smwer na mm pia Ni muudhuriaji sna wa mawaposa nampenda mwaposa sna

Nikonae had mwisho ila pia mm Ni muhumini mzur sna wa kkkt korogwe kimara mchungaji mastai na mwanae wananikosha sna wale watu nabarikiwa sna na mahubiri zao na mwaposa pia nmkubali sna

Juz nilikuwa pale fire nakutana na Teja nae alinieleza mkasa wake na jins mwaposa alivyomnausua katk uteja na sasa Ana familia na kila ibada ya ya pili hawezi kukosa yule jamaa na Ni muisalmu mzuri San na mpiga debe Happ fire dsm
Kumbe. Haya sawa and thanks for your comment!
 
Ninafikiria hapa lakini mkuu huwezi kulaumu watu wanaokuwa na mashaka na hawa mamitume type... Kuna wa ukweli halafu tena kuna bad guys too... so iam just trying to find out . You will note if you read btn lines kwamba sijam-judge your lovely Mwamposa i was just minding my business until people started coming to me saying Mwamposa this, Mwamposa that!
End of the day listen to your heart... Unajua tunaposema Mungu atakubariki au atakuponya, hatumaanish Mungu atakuja nyumban kwako umuone kwa macho akikubarik au kukuponya... Mungu hutumia watu bila kujari ni mzungu au mwafrika, mkristo au mpagani, yeyote yule anaweza kutumiwa na Mungu kukufikishia ujumbe wa baraka au uponyaji kwamba unapatikana sehem fulani... All in all mimi nina sisitiza IMANI kama huna imani hata uende kanisan au kwa mtumish unayemuamini 💯 huwezi kupona au kubarikiwa... Lakin pia sikatai ni kweli wapo manabii feki hata Yesu alisema "watakuja kwenu kwa jina langu lakini sio wangu". Lakin ukisoma Bible Mungu anasema nijaribuni muone matendo makuu nitakayo watendea, bisheni mtafunguliwa, ombeni mtapewa, tafuteni mtapata...
 
We nenda kwa huyo mwamposa wenu

Lakina ukwel utabaki milele huyo ni Mganga wa kidigitali, yaan mganga wa kienyeji aliyeamua kufanya tiba zake kupitia usasa zaid kwa msaada wa kificho cha dini.

Uganga unaponya kweli inategemeana na tatizo lako pia nguvu za mganga mwenyewe.

Kakanyage mafuta ya upako ambayo hujui yametengenezwa kwa vitu gan na madhumuni gani.

Utapona kweli ila vipo utakavyopoteza.

It's up to you
 
Back
Top Bottom