Leo jioni jumamosi, nilikua nafua. Kuna kijana mpangaji mwenzangu just next door mke wake kajifungua mtoto wa kwanza kirahisi sana. Kampeleka kwao kidogo...
Sasa ile nipo nafua mara Jamaa akarudi toka kazini kwake. Ni mu-islam ila alikua amerudi afue nguo mbili tu za kuendea kwa mwamposa kesho jumapili. Amenishawishi sana. Jamaa ni mtu wa beer, bangi na sigara ni mu-islamu ila karudi afue nguo za kuendea kwa mwamposa kesho mpaka nikaanza kuwazingatia watu wanaoniambia niende kwa mwamposa.
Mimi nina ulemavu wa kusikia ila sio wa kuongea pia. Wao wanaamini mwamposa anaweza kuniombea nikapata kusikia tena. Jamaa Kanionyesha na wallet yake jinsi ilivyo na noti nyekundu nyingi japo hazifiki laki na its unlike him. Anasema hayo ndio mabadiliko kwani hata vilevi ameanza kujidhibiti na ataacha kabisa. Alikua ananiambia huku anavuta bangi nikamhoji akasema uislamu haachi ila kwa mwamposa ana imani nae sana.
NOW my fellow Great thinkers:-
1. What is your opinions/maoni yako kwenye hili..?
2. Kindly advise
3. According to @Mshanajr its aint good. I can second him based on a certain American movie series ALPHA humo kuna mtu ana mambo kama hayo ya kina mwamposa ilikua akiwa bless watu kuna doctor anawatibu dah basi if i come to think of it nasita sita kwenda kwa mwamposa.
4. Kule Mwanza sometimes kulikua na mchungaji DOXA DOXAZO... His story resembles Mwamposas. Walisemaga aliombea watu wazae wakizaa kweli baadae mtoto anakua anageuka chatu ukimchungulia and thats how he had no other option but to vanish... Again there was "MFALME" ZUMARIDI and she too aint pleasant so its only fair to wonder about Mwamposa guy.
I so much wishes to restore my hearing. Would do a whole lots to achieve that... But at a reasonably "price", not just to worsen the situation. Iam writing this because of my mother and sister who wants me to go there. I like to be enlightened first, pease!
I stays at Mbezi beach, Dar