M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
NAAM HAPA NDIPO KWENYE TATIZO.MWAMPOSA msemeni mchoke siku zinavyo zidi kwenda ndivyo watu kutoka dini tofaut, madhehebu tofaut na mataifa wanaenda kanisani kwake na ktk mikutano yake kupata huduma ya kiroho na uponyaji... Endeleeni kumdhihaki maana hakuna jipya mfanyalo... Ushuhuda wangu:- mama yangu 5yrs ago alitakiwa afanyiwe operation ya 3 baada ya operation 2 kutomsaidia chochote... Huku na huku siku 1 akaenda kusali kwa Mwamposa akaombewa akaambiwa rudi nyumban umepona huna haja ya operation kwasabab hio operation zote ni mpango wa shetani kukutoa roho ila huumwi chochote... Alirudi hospital madaktar wakamwambia ajiandae kwa Operation maana asipoifanya anaweza kufa siku yoyote hali imekua mbaya... Mama na Familia kwa pamoja tulikataa asifanyiwe operation... Leo ni mwaka wa 5 mama hajafanyiwa operation na ni mzima wa afya njema na amesahau hata kama aliwahi kuumwa hoi... Guys haya mambo ya imani kama huyaamini kaa kimya, Mimi nilikua sitak kumsikia huyo Mwamposa na wahubiri wengine but from there nilimwambia Mungu anisamehe kwa kukejeri watumish wake... All in all ukitaka kwenda kwa Mwamposa nenda kama hutak usiende sio lazima baki na shida zako utazitatua utavyojua wewe... YESU alisema "IMANI YAKO IMEKUPONYA" haitajiki uwe na imani kubwa kama ya fulani inahitajika imani ndogo sana kama punje ya ulezi... Just a matter of time kila goti litapigwa... AMEN 🙏
KWAMBA KWENDA KWA MWAMPOSA NI MPAKA UWE NA SHIDA!!, HUU NDIO UGANGA WA KIENYEJI.
TENDA MAPENZI YA MUNGU MENGINE YATAKUJA.
Yohana 9:31 inasema, “Tunajua kwamba Mungu hawasikilizi watu wenye dhambi. Yeye husikiliza mcha Mungu anayetimiza mapenzi yake.“