Wanaamini Mwamposa anaweza kuniombea nikapata kusikia tena

Ukienda,labda ,labda utapata msaada( isipokuwa wewe lazima uamini kwamba kwa hakika utapata msaàda). Swala la wewe kudhurika linakuja vipi?
Mimi nimekwenda pale mara nyingi,na ukiniuliza,I will grudgingly state kwamba watu wanapona pale.
And I think I know why. Ng'ombe wengi wamechinjwa pale,there is a lot of etheric energy.
 
Nina mengi ya kushuhudia.......kupitia madhabahu ya arise & shine watu wengi wamebarikiwa na kuponywa mahitaji yao mbali mbali.....
Shuhuda ni nyingi sana....
Kwa atakae bisha ajaribu kwenda pale afuate maelekezo....Nakuhakikishia atakuja kutupa mrejeshoo hapa.....yaan Ushuhuda.
 
Lazma tumseme na atapotea kama wahuni wenzake walivyopotea.

Walikuwepo kina kakobe,lusekelo, Tb joshua pamoja na sifa zao na utapeli wao leo hii wako wapi?

So hata ilo jamaa lenu litawavuruga sana na kuwadanganya sana lkn mwsho wake ni ule ule sawa na wenzie,

Uchawi unaponya na sio kosa kuwapangia namna ya kuabudu maana kila mtu ana haki yake.

%kubwa ya wanaoamini kwa hao manabii uchwara hata maisha yenu huwa mmejawa matatizo matupu kama sio utegemezi basi ugonjwa wa akili.
 
Kama Mwamposa wenu anatibu na Kuponyesha Vilema mbona Mdogo wake wa Damu kabisa ni Kilema wa Mkono na hajamponyesha na pia huwa anawashangaeni mno Mapopoma ( Nuts ) mnaomuamini Kaka yake aliyewaharibu Akili kwa Dawa zake za Mazingaombwe anazochukua sasa nchini Msumbiji ( Mozambique ) baada ya Kuachana na zile za nchini Nigeria na Congo DR.
 
Hata sisi tulioingia vilingeni vya uganga tuna makubwa ya kushuhudia kulko ninyi wanafiki wa makanisani.

Uchawi ukikuponywa haimaanishi uponyaji huo ni Sahihi ama ni uponyaji safi.

Enyi wapumbavu mtadanganywa mpka lini? Yaan mnalambishwa asali ya unabii feki na miujiza ya kiganga still hamtaki kuelewa what's behind.

Someni biblia zenu mtaona mapungufu makubwa sana kati ya mafundisho yao na biblia yenyewe
 
Unaweza kuiweka hapa hiyo roho mbaya yake , kwa manufaa ya dunia !
 
Una plausible argumentation. Ata mimi nimewaza hivyo. Kwamba maybe naweza kupona ila at the end of the day kukawa na strings attached.
 
Hapa umemaliza kila Kitu Mkuu' na nitashangaa hasa nikiona kuna atakayekupinga juu ya hili kwani Umesema Ukweli na Uhalisia wote kumhusu huyo Tapeli wa Kiroho, Kiimani na Mharibifu wa Akili za wale Wote wanaomuamini na Kumsikiliza.
 
sawa tunashukuru kwa maneno yako... ila huu ni mwezi July 2022 bado miezi 5 tufike December... I swear in the name of Almighty God utajifunza jambo kubwa kabla huu mwaka hujaisha... Sijui kwa namna gani ila nina imani hiyo juu yako... AMEN 🙏
 
Sija andika kubishana na mtu au kujimwambafy......
Sijapendezwa na wew kuita watu wanafiki....
For years ulikua huwez kuniambia kuhusu ulokole nikakuelewa.......

Nilikua kama ww siku Moja.....Am 4 real kama jina langu,

"Ni kama sauli kua mtume Paulo"

Ujue Nini God is real
 
Mimi nilikua nishamkataa na kumpuuzia uyo Mwamposa. But i love my mother iam willing to do things to see her wishes are through. Ila aliponiambia khs Mwamposa i politely refused but it were on my thoughts.

Sasa hiyo event ya leo ndio imeongezea kilogram kwenye ombi la mama yangu. Huyu kijana muislam alikua miserable kabisa hela yote biere tu na bangi plus acting bad to the girl he is cohabiting with. Leo kurudi kufua nguo mbili tu kwa ajili ya kuendea kwa mwamposa it must get you thinking what a sudden transformation... Kamuongelea sana. Kanionyesha wallet yake( japo mi ninazo nyingiii kumzidi and i know how to keep them moneys), kanionesha hayo maji yao, kasema mafuta alimpa wife wake... Yote hayo anafanya huku anavuta bangi then sigara... ( As for me i dont smoke anything nor drink terribly - iam just only into them LADIES and usually spend fortunes on them)…. Nikamuuliza now that you are so much into Mwamposa dude, how about weeds, sigaretisiii en beer, Papi??? akajibu tu "uislamu siachi(hadi jina lake ni la kiislamu) ila NINA IMANI NA MWAMPOSA" guys it was so emotional
 
Will you tell us more about "etheric energy" please
 
sawa tunashukuru kwa maneno yako... ila huu ni mwezi July 2022 bado miezi 5 tufike December... I swear in the name of Almighty God utajifunza jambo kubwa kabla huu mwaka hujaisha... Sijui kwa namna gani ila nina imani hiyo juu yako... AMEN 🙏
Mm pia naomba ije iwe shuhuda humu ndani... Kwenye thread hii...Tena Kwa Uzuri... MUNGU atatenda....Amen
 

Yaani kutolewa roho ni mpango wa shetani duuu?! [emoji1787][emoji1787][emoji16]
 

[emoji16][emoji16] mi nawaona kila siku wakirudi wako hoiiii bin taabani [emoji16][emoji16][emoji3] huwo muda wa kwenda kushinda huko bora wangesakanya pesa maana wengi maisha yamewapiga mno mno bd wanaenda kutoa visent vyao huko UJINGA MTUPU
 
Tafuta pesa j moss sio siku yakufua
 
SHIDA YA WAUMINI WAKE, WAO WANATUKUZA ZAIDI MWAMPOSA KULIKO MUNGU WAO AU YESU KRISTO.
WANAPASWA SASA KUMWITA MUNGU BABA MWAMPOSA NA SIO NABII TENA.

WAUMINI WENGI NI WALE WALIKOSA KAZI ZA KUFANYA, WENGI HATA KUSOMA NA KUANDIKA NI TATIZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…