LGE2024 Wanaccm kwa maelfu wajipanga misururu mirefu kujiandikisha uchaguzi wa Serikali za mitaa, Chadema bado Wanasuasua!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha

Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM

Sabato Njema 😄
Mkuu unawavunjia Heshima wananchi waliojitokeza kwa wingi bila kujali itikadi za vyama vyao.
Sielewi kwanini unasema ni Wana CCM.
Tunaomba utupe evidence, vinginevyo tukupuuze kama wanavyopuuzwa wanasiasa wengine wasio itakia mema Nchi yetu.
 
Salamu ya chama 🐼😂
 
Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha

Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM

Sabato Njema 😄
Weka picha otherwise ni propaganda za kuja kuiba kura hapo mbele kwa kusema chadema hawajajiandikisha.
 
Hao wanaojiandikisha na kuandikishwa na CCM si wanaweza kupigia kura Chadema.

Nafikiri iyo ingekuwa kazi ya serikali, somo la uraia. Sidhani kama Chadema wana pesa, au infrastructures kufanya kama CCM nchi nzima.
 
Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha

Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM

Sabato Njema 😄
Weka picha otherwise ni propaganda za kuja kuiba kura hapo mbele kwa kusema chadema hawajajiandikisha.
Hivi wanachama wa chadema si ni kama wanajisumbua tu ,uahalisia halisi ulionekana siku alipoitisha Maandamano huyu Mzee Mbowe
 
Watanzania wa aina kama ya meta mada wana mchango mdogo sana ktk taifa hili.
 
Back
Top Bottom