CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Jo ana ujnga mwingi sana anamkaribia yule chawa Lucas Mwashambwa.Umewaona wote wamebeba kadi za ccm kwenye foleni za kujiandikisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jo ana ujnga mwingi sana anamkaribia yule chawa Lucas Mwashambwa.Umewaona wote wamebeba kadi za ccm kwenye foleni za kujiandikisha?

Akili za kutuandaa ili muibe ,hao uliowasema walikua wamevqa nguo za uvccm? Au unataka kutuandaa kisaikolojia mkiiba mseme mlijiandiksha mapema?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Ni wana ccm au ni Watanzania?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Acha propaganda wewe ni mpiga kura mzuri wa ccm unawakatisha tamaa wapenda mabadiliko ili mtimize lengo lenu.Kwa nilipofika labda nione kuna mabadiliko halisi lakini hili la kupiga nini, ni haki yako au kamchague kiongozi unayemtaka....nimevuka ukanda huo....nguvu na muda kufanya hivyo ni bora ningechapa usingizi au kuangalia hata tv japo sipendi tv....inaumiza na sio kwa upinzani wala watawala wote wachawi tu. Atakayepita ndio aliyepitishwa tiki yangu haina maana yoyote pande zote.
Ushindi usio na maana; wenye kuongeza kasi ya dhiki, ujinga na umasikini nchini. Who cares?Umoja ni Ushindi 😂
Uzi huu bila picha ni batili.Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Acha ...............Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Hakuna chawa mwenye akili timamuHuyu jamaa ni mjinga kabisa.
Hamna wazee wa kuweka misururu. Ccm sio chama cha vijana, misururu itoke wapi?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
😂😂😂Hakuna chawa mwenye akili timamu
Nyie jiandaeni kushinda, CHADEMA wanajianda kutotambua ushindi wenu na maandamano juu.Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Walikwenda kujiandikisha wakiwa wamevaa uniform?Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Umejuaje kuwa hao ni MaCCM wewe chawa!Kiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄
Teh teh tehhhh!!!Acha propaganda wewe ni mpiga kura mzuri wa ccm unawakatisha tamaa wapenda mabadiliko ili mtimize lengo lenu.
Amemaanisha kura zote ztaenda ccm na ndo ukweli huoo haijalishi ztapgwa kwenda chama kipMkuu unawavunjia Heshima wananchi waliojitokeza kwa wingi bila kujali itikadi za vyama vyao.
Sielewi kwanini unasema ni Wana CCM.
Tunaomba utupe evidence, vinginevyo tukupuuze kama wanavyopuuzwa wanasiasa wengine wasio itakia mema Nchi yetu.