Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
JF mnampa airtime kubwa sana huyu mpuuzi sijui law maslahi gani huko maana habari zake zimejaa upotoshaji mkubwaKiukweli CCM imepania sana hakuna mtu anabaki bila kujiandikisha
Sidhani kama wapinzani watapata hata Mtaa mmoja tu jijini DSM
Sabato Njema 😄